Search results

  1. v0il0r

    Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

    Kama fundi alizingua kazi ya umeme katika kusuka au kutengeneza kifaa cha umeme nyumbani kwako, toa hiy shida, tuone tunatatuaje vipi
  2. v0il0r

    Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

    Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
  3. v0il0r

    Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Kama una kazi mkuu, njoo pm
  4. v0il0r

    Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Leteni wateja tugawane mapato 70% / 30%
  5. v0il0r

    Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa Tuma ujumbe pm. Dar es Salaam > Kibamba
  6. v0il0r

    Mwekezaji kwenye uchimbaji wa dhahabu anahitajika

    Fundi umeme + mechanical, mgodini niwekeni seat ya mafundi Fundi full set..... PM me, tupige kazi
  7. v0il0r

    Uzi wa mafundi (umeme,ujenzi,bomba) na wenye nyumba

    Fundi gani mkuu? Ujenzi / umeme? Au wote
  8. v0il0r

    Uzi wa mafundi (umeme,ujenzi,bomba) na wenye nyumba

    Mkuu siyo wote, Mimi sijawahi fanya wizi katika kazi
  9. v0il0r

    Uzi wa mafundi (umeme,ujenzi,bomba) na wenye nyumba

    Sema unakuwa haujapata mtu mwenye kipaji na ufundi siyo fundi anafanya ili apate pesa.
  10. v0il0r

    Uzi wa mafundi (umeme,ujenzi,bomba) na wenye nyumba

    Uzi wa mafundi wa majumbani kama umeme, ujenzi, bomba na n.k + wenye nyumba lengo nikupata msaada au kutoa ushauri au unataka fundi Kwa wenye nyumba Mfano: wewe una hitaji fundi wa umeme labda pasi, jiko, tv, short-circuit, n.k au ujenzi unaweza pata fundi contacts zake, au ukaomba ushauri...
  11. v0il0r

    Mtalaam / mtu gani unamuhitaji katika kazi/biashara zako?

    -> social media manager + marketing -> Daressalaam Kama unahitaji mtu wa biashara/kazi/kampuni yake kuwa mtandaoni na kuongeza wateja, kujitangaza online na sponsored ads, graphics design hasa za kazi zake/bidhaa ...ku-handle customer support, na marketing/Masoko kutafuta wateja online &...
  12. v0il0r

    Mtalaamu au mtu gani unamuhitaji katika kazi au biashara yako?

    Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier , Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
  13. v0il0r

    Mtalaam / mtu gani unamuhitaji katika kazi/biashara zako?

    Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier , Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
  14. v0il0r

    Pro social media manager + marketing

    Kuza biashara yako + pata ongezeko la wateja, uwakika. Biashara / kampuni
  15. v0il0r

    Pro social media manager + marketing

    Kuza biashara yako + pata ongezeko la wateja, uwakika. Biashara / kampuni
  16. v0il0r

    Pro social media manager + marketing

    Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla. Faida za kuwa na social media + marketing manager 1. Nasimamia akaunti zako zote za mitandao ya kijamaa ya baishara yako, kama kuweka bidhaa/ huduma zako, kuwaelezea...
  17. v0il0r

    Mtu wa kusaidia kuuza magari, masoko, nina mechanical diploma

    Habari, -> nipo dar (kibamba) Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa...
Back
Top Bottom