Pro social media manager + marketing

v0il0r

Member
Jan 23, 2018
24
26
Pata ongezeko la wateja, brand awareness, kuza biashara zako na mtalaam hapa mambo ya mitandao ya kijamii na Masoko kiujumla.

Faida za kuwa na social media + marketing manager

1. Nasimamia akaunti zako zote za mitandao ya kijamaa ya baishara yako, kama kuweka bidhaa/ huduma zako, kuwaelezea wateja upekee wako katika biashara yako, pia kukupa ushauri wa masoko yaani kupata wateja zaidi na zaidi

2. Kupunguza majukumu yasiyoulazima kwako kwenye biashara, wote tunajua kufanikiwa unahitaji teamwork nzuri, hivyo kufanya kazi na mimi nikuwa nimekuongezea ufanisi katika kazi zako

3. Ku-promotes bidhaa zako mitandaoni Kwa bajeti nafuu na kupata matokeo mazuri, ku-handle wateja order, maswali, mawasiliano yako kutunza kumbukumbu

4. Kukuza biashara yako katika kuweka misingi imara Hadi kujiendesha yenyewe.

5. Hautahitaji mtu wa graphics design, kwani nitakuwa na kudesignia bidhaa/huduma zako posters.

-> Uzoefu 3+

-> Napatikana Dar es salaam, kibamba

-> bei za kusimamia akaunti na Masoko kiujumla ni makubaliano kulingana na ukubwa wa shughuli zako bei zinaanzia 200K - 500K Kwa mwezi mmoja.

Nicheki PM
 
Back
Top Bottom