Search results

  1. Erick_Otieno

    Kwanini DJs hupiga nyimbo za kizamani kwa muda mrefu?

    Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda? Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi... Nipo hapa Maisha Club makumbusho, jamaa anapiga old schools tu mwanzo mwisho yaani hadi elfu 10 yangu ya mlangoni inaniuma.
  2. Erick_Otieno

    Ni viwanja gani kuna Live Band ijumaa ya leo hapa Dar?

    Hodiii, Ni wapi kuna live band Eid ya leo ijumaa hapa mujini:) ? Nzuri zaidi ikiwa haina kiingilio but descent location. Thanks
  3. Erick_Otieno

    Business Partner Wanted: Simba vs. Kiba project proposal

    habari wadau, Kama mnavyojua, siku zote mafanikio huja kwa kuendana na hali, kuangalia upepo unakoelekea, kutatua tatizo ambalo kwa muda huo jamii ndio inakumbana nalo nk. Sasa jimekuja na wazo la kibiashara ambalo nahitaji Partner, hapa chini: aya ya kwanza ninachambua wazo...aya ya pili...
  4. Erick_Otieno

    Kwanini Serikali isiwatumie vijana wa IT badala ya kuwaweka Rumande na Magerezani?

    Nina wadogo zangu kama wawili nawafahamu, mmoja kaenda jela mwingine bado yuko mahabusu. Serikali hii ingewatumia vijana wote wenye elimu za chuo na fani zinazoeleweka kama vile IT, Programming na Computer Science kuwatawanya kwenye Halmashauri ambazo bado hazina mifumo ya kieletroniki, systems...
  5. Erick_Otieno

    Maybe I can do something for Chidi benzi. Niungeni mkono

    Mwenye namba ya moja kwa moja kwa Chidi naomba anipatie, nahisi naweza kumsaidia kadri ya uwezo wangu. LeBoss.
  6. Erick_Otieno

    Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

    Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko...
  7. Erick_Otieno

    Baiskeli ya gia INAUZWA

    Ni ya mtumba, ipo kwenye hali nzuri. Bei laki na nusu. Piga 0752 102385
  8. Erick_Otieno

    Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

    Ni aje makamanda, I hope mko poa. Mwenzenu nilijaribu maisha baada ya kiajira changu cha kwanza lakini ikabidi nirudi home kwanza nikajipange upya, hatimae nimepata kazi ya mshahara ambayo kwa kuanzia maisha ya kifamilia sio mbaya (1.2M take home), pia nina dili kama 2 hivi zitakazonilipa mara...
  9. Erick_Otieno

    INAUZWA 3D Press Printer (inaprint vikombe, badges, tshirts, sahani, tiles, trophies, vitambaa

    Hodi wana JF, 3D Press Printer/Heat Press inauzwa kwa bei poa sana, ni nzuri kwa wajasiriamali wa Stationery, Printers au yeyote anayetaka kuendesha biashara ya kuprint Promotional items k.v. Tshirts, Vikombe, Glasi, Badges, Funguo, Vitambaa, Trophies/Tuzo za vioo au mbao, Sahani, Seramic...
  10. Erick_Otieno

    Kitanda kipya (kina wiki 2) 5x6 kinauzwa 140,000/=

    Kitanda kipya kina wiki 2 tangu kinunuliwe kinauzwa. Ni 5x6, kipo Kigogo. PM namba yako tuwasiliane uje ukiangalie.
  11. Erick_Otieno

    Kitanda kipya (kina wiki 2) 5x6 kinauzwa 140,000/=

    Kitanda kipya kina wiki 2 tangu kinunuliwe kinauzwa. Ni 5x6, kipo Kigogo. PM namba yako tuwasiliane uje ukiangalie. :::::::::::::::::: Nimeweka picha sasa. Kitanda hicho hapo jamani.
  12. Erick_Otieno

    Ushauri wa bure kutoka kwa Husna_TheBossLady kwa waajiri/employers

    Hodiii mashosti na kaka zangu:) Kwanza asanteni kwa ukaribisho mubashara...ati naskia thread yangu ya utambulisho ndio ya kwanza kuwa na replies nyingi hadi 500-600 comments! I was honored. Hii ni thread yangu ya pili, naomba kuzungumzia/kutoa ushauri kwa waajiri/employers hasa wenye taasisi...
  13. Erick_Otieno

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Hodi humu! Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu. ..... Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa: * Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha. * kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress) * Sijaolewa * Kuhusu kunilindia...
  14. Erick_Otieno

    Viwanja vimepimwa vinauzwa Mbezi kwa Msuguri

    Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa mita 30 X 15 vinauzwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Viwanja vimeshapimwa na huduma za maji, barabara na umeme zinapatikana. Vipo umbali wa mita 200 kutoka kituo cha basi cha kwa Msuguri, barabara ya Morogoro. Jirani na...
  15. Erick_Otieno

    Naomba msaada ni wapi naweza kupata mafundi wa kutengeneza kengele ya kanisani

    Nawasalimu wana JF, Nashukuru Mungu kwa kutuwezesha kukamilisha ujenzi wa kanisa. Kwa sasa tunahitaji kuweka kengele kanisani, naomba kama kuna kuna mtu anajua mafundi au ni wapi ninaweza kupata kengele ya kanisani hapa anipe mawasiliano yao. Asante sana kwa ushirikiano wenu
  16. Erick_Otieno

    Naulizia mashine za kuprint mifuko ya kuweka chakula

    Wana JF. Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada ni wapi ninaweza kupata mashine za kuchapisha lebo za mifuko ya kufungashia chakula kama vile unga, mchele, maharage na kadhalika (Food packing bags printing machine) hapa Tanzania au East Africa. Natanguliza shukrani zangu.
  17. Erick_Otieno

    Msaada: Laptop inapata moto sana...

    Hii laptop inapata moto sana, imepungua speed ya kufungua mafaili na kudownload, inagoma kuinstall antivirus na inavuma kwa sauti sana. Nimeitumia kwa miaka 4 sasa na ilikua safi kabisa, matatizo yameanza miezi mitatu iliyopita baada ya kuondoa kaspersky antivirus trial version. Nipeleka kwa...
  18. Erick_Otieno

    Msaada kuwasha computer

    Wadau computer yangu ilizimika ghafla baada ya umeme kukatika...na sasa nikiwasha inaleta hii message 'Window could not start because the following file is missing or corrupt: \WINDOWS\SYSTEMS32\CONFIG\SYSTEM You can attempt to repair this file by starting Windows Set up using the original set...
  19. Erick_Otieno

    Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana

    Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii. Asanteni sana
  20. Erick_Otieno

    Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana

    Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii. Asanteni sana
Back
Top Bottom