Another BossLady in the House, Hodiii

Erick_Otieno

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Messages
627
Points
1,000
Erick_Otieno

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2010
627 1,000
Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Haya nimerudi tena binti Husna Husnadat The Boss Lady:) comment ni nyiiiingi, PM ndo kabisaaa....jamani hivi hamna wake nyie wababa?? Wapi nimesema natafuta kuolewa? Wengi wameandika ati njoo pm tuyajenge!! lkn hasemi tuyajenge manini hayo. Mwingine anasema kwa uvaaji huo wewe hufai kuwa Headmistress, utadhani hapo nilipo ni uwanja Wa shuleni!!

Halafu, kwann wanawake wenzangu mmekwazika Mimi Kuweka picha? Kwani nyinyi mnachoshindwa nn? au mnatafutwa na Serikali!! Mwanamke kujiamini kha! Picha zenyewe nakula makongoro lkn mwanaume roho juu...je nikiweka za Photoshoot au gym si ndio mtawehuka....mimi sina kipya ila ni descent lady mwenye maisha yake na ajira yake.

Mwingine anasema ati nimfate PM! haloo mm ndo nafuatwa, mm sifati wanaume...na ukija pm kuuliza nafundisha shule gani basi uandae kumregister mwanao huku.

Mnaoniomba Eid, mm kesho nashinda zangu home kuangalia series, sitembeagi ovyo jamani ee....the boss lady ni humble and loving and friendly lkn sio kwa maswali ya kipuuzi...huko n kukoswa kazi.

Nyt nyt wooote mlionikaribisha kwa mapenzi mema. Inshallah tutazidi kufahamiana zaidi.
fb2b6b602e983e368030e792a36ca129-jpg.530266
35dfb6dcfb9b74bfd9a97c68625e87bf-jpg.530267
30644ec140631a654ebfd1e896103cc1-jpg.530268
d09bedaefc2310b396ce0d36a6361c14-jpg.530270
 
Antonio de Guzman

Antonio de Guzman

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
5,863
Points
2,000
Antonio de Guzman

Antonio de Guzman

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
5,863 2,000
Karibu sana ila naomba nikufahamu kwa pic
 
Desire Dizaya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,423
Points
2,000
Desire Dizaya

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,423 2,000
husna tunaomba kukufahamu japo kwa picha..makaz yako mkoa gani..
ukijulikana inakuwa ni rahisi kusocialize na member humu
 

Forum statistics

Threads 1,325,699
Members 509,266
Posts 32,199,875
Top