Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,028
Wana JF.
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada ni wapi ninaweza kupata mashine za kuchapisha lebo za mifuko ya kufungashia chakula kama vile unga, mchele, maharage na kadhalika (Food packing bags printing machine) hapa Tanzania au East Africa.
Natanguliza shukrani zangu.