Kitanda kipya (kina wiki 2) 5x6 kinauzwa 140,000/=

Kitanda kipya (kina wiki 2) 5x6 kinauzwa 140,000/=

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,030
Kitanda kipya kina wiki 2 tangu kinunuliwe kinauzwa. Ni 5x6, kipo Kigogo. PM namba yako tuwasiliane uje ukiangalie.
 
Nahisi comments zangu zinaliwa

Jina la simu yangu halikuhusu. Pita kuleeee
 
Mbao au Chuma?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Nahisi comments zangu zinaliwa

Jina la simu yangu halikuhusu. Pita kuleeee
mkuu nakusihi utafute jukwaa au uzi mwingine, naona utakuwa umekosea. hapa kinauzwa kitanda, simu na kuelekezana pa kupita ni kutoka nje ya mada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom