Kwanini DJs hupiga nyimbo za kizamani kwa muda mrefu?

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,028
Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda?

Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi...

Nipo hapa Maisha Club makumbusho, jamaa anapiga old schools tu mwanzo mwisho yaani hadi elfu 10 yangu ya mlangoni inaniuma.
 
Panachamkaga saa 7 hapa, time hii bado sana,
Uko pande ipi nije tupige story mbili tatu? Niko humu ndani pia.
 
Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda?

Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi...

Nipo hapa Maisha Club makumbusho, jamaa anapiga old schools tu mwanzo mwisho yaani hadi elfu 10 yangu ya mlangoni inaniuma.
hio huwa inatokana na mzuka wa dj alikuja nao siku hio
 
Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda?

Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi...

Nipo hapa Maisha Club makumbusho, jamaa anapiga old schools tu mwanzo mwisho yaani hadi elfu 10 yangu ya mlangoni inaniuma.
Inaonekana ndio mara yako ya kwanza kuingia Club.
 
Duh.
Sijawahi ona hii aisee.

Mteja ampangie DJ apige nyimbo anazozitaka yeye??

Hayo mambo mkuu yapo kwenye vigodoro,house party, Birthday party,na kwenye mabonanza uchwara lakini sio kwenye Club yoyote ile .
Nimesema labda kwa kuwa sina uhakika sipajui huko club kukojekukoje nimezoea bonanza la kitaa
 
Hapo sawa.

Nilitaka kushangaa aisee.

Hayo mambo ya kuchagua nyimbo yapo kwenye vigodoro, unampa DJ jero unachagua nyimbo unayoitaka, lakini kwa night clubs hakuna.

Na ma DJ's wengi nilivyowadadisi kwa nini hawaruhusu mteja kuchagua nyimbo wakadai kuwa wanahofia nyimbo fulani kurudiwa rudiwa kila mara mwisho wa siku wakaonekana hawana ngoma nyingi ndio maana wanazirudia zilezile.

Halafu kingine wakadai kuwa kila mteja ana aina ya nyimbo anazozipenda So lazima wapige nyimbo tofauti tofauti ili kila mmoja aridhike , ina maanisha kuwa kungekuwa na chaguzi za nyimbo inamaana kuna nyimbo zisingepigwa mwisho wa siku baadhi ya wateja wasingepata wasaa wa kusikiliza na kucheza nyimbo wanazozipenda.
 
We utakuwa wa kizazi cha facebook tu, 90's baby wengi wajanja tunainjoy old schools..

Club bila ngoma za watu kama kina Naughty by nature, Lost boys, Mr.chicks, Luniz, Keith sweat, 2pac, Notorious, Outlaws, N.W.A, Mc hummer, Timberland n.k basi ujue dance haitonoga kwangu.

Hizo bongo fleva zenu za kileo sjui singeli na wabanaji pua ni jau sana, kelele tu!
 
Hapo sawa.

Nikitaka kushangaa aisee.

Hayo mambo ya kuchagua nyimbo yapo kwenye vigodoro, unampa DJ jero unachagua nyimbo unayoitaka, lakini kwa night clubs hakuna.

Na ma DJ's wengi nilivyowadadisi kwa nini hawaruhusu mteja kuchagua nyimbo wakadai kuwa wanahofia nyimbo fulani kurudiwa rudiwa kila mara mwisho wa siku wakaonekana hawana ngoma nyingi ndio maana wanazirudia zilezile.

Halafu kingine wakadai kuwa kila mteja ana aina ya nyimbo anazozipenda So lazima wapige nyimbo tofauti tofauti ili kila mmoja aridhike , ina maanisha kuwa kungekuwa na chaguzi za nyimbo inamaana kuna nyimbo zisingepigwa mwisho wa siku baadhi ya wateja wasingepata wasaa wa kusikiliza na kucheza nyimbo wanazozipenda.
Mkuu ushawahi kuwa Dj nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom