Ni viwanja gani kuna Live Band ijumaa ya leo hapa Dar?

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Mar 28, 2010
624
1,020
Hodiii,
Ni wapi kuna live band Eid ya leo ijumaa hapa mujini:) ? Nzuri zaidi ikiwa haina kiingilio but descent location.

Thanks
 
Nenda bar tulivu kama Break Point, Governers zote ziko Kinondoni, maeneo jirani kabisa na Leaders club.

Hapo utapata live band za kawaida na mziki mtam, watu classic na sio wahuni wahuni.
 
Back
Top Bottom