Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Erick_Otieno, Nov 3, 2011.

 1. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii.

  Asanteni sana
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yale yale...copy and paste
   
 3. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  NItakutumia template next week! Je mna loggo? nembo ya utambulisho wa kikundi!
   
 4. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Mkuu shukrani sana ninasubiria, hatuna nembo (logo) ya kikundi.
   
Loading...