Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Realtor, Nov 3, 2011.

 1. R

  Realtor Senior Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii.

  Asanteni sana
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  mfuko wako umekaaje nikutumie katiba ndugu?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  kama uko serious ni PM tukamilishe deal
   
 4. R

  Realtor Senior Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mfuko wangu ni sifuri...ni kazi ya kujitolea!
   
Loading...