Kitanda kipya (kina wiki 2) 5x6 kinauzwa 140,000/=

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Mar 28, 2010
624
1,020
Kitanda kipya kina wiki 2 tangu kinunuliwe kinauzwa. Ni 5x6, kipo Kigogo. PM namba yako tuwasiliane uje ukiangalie.

::::::::::::::::::

Nimeweka picha sasa. Kitanda hicho hapo jamani.
 
Attachments

  • Photo0101.jpg
    Photo0101.jpg
    84.7 KB · Views: 182
  • Photo0102.jpg
    Photo0102.jpg
    69.8 KB · Views: 154
  • Photo0103.jpg
    Photo0103.jpg
    90.8 KB · Views: 191
  • Photo0105.jpg
    Photo0105.jpg
    97.9 KB · Views: 155
  • Photo0106.jpg
    Photo0106.jpg
    102.7 KB · Views: 138
  • Photo0108.jpg
    Photo0108.jpg
    81.2 KB · Views: 149
Kwa hiyo kama hauna camera,basi nakukadiria mkuu njoo uchukue 60000 hapa msimbazi center uokoe majanga

Jina la simu yangu halikuhusu. Pita kuleeee
 
Mkuu umekilalia wiki mbili tu unauza au ulikua unatafutia mtoto kitandani sasa shemeji kashika ujauzito

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kama hauna camera,basi nakukadiria mkuu njoo uchukue 60000 hapa msimbazi center uokoe majanga

Jina la simu yangu halikuhusu. Pita kuleeee
Mkuu nimekuita kwenye huu uzi? kwahiyo kama sijakuita sasa nipite kule niende wapi?? hii ni biashara yangu nafanya, kama sio interest yako kuna thread nyingi humu za kuchangia.
 
Cha chuma au cha mbao

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Picha mkuu ndo muhimu sana

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
mkuu ni kweli, lakini vile vitanda vya pale keko si unavijua? vile vya laki na 80, laki 2....so ni design kama hiyo kikiwa kipya hivyo hivyo.
 
Mkuu nimekuita kwenye huu uzi? kwahiyo kama sijakuita sasa nipite kule niende wapi?? hii ni biashara yangu nafanya, kama sio interest yako kuna thread nyingi humu za kuchangia.
Umekunywa sabuni badala ya chai au mbona unatoa povu mkuu. Kama hutaki tununue basi endelea kukilalia.

Back
Top Bottom