Msaada kuwasha computer

Msaada kuwasha computer

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,028
Wadau computer yangu ilizimika ghafla baada ya umeme kukatika...na sasa nikiwasha inaleta hii message 'Window could not start because the following file is missing or corrupt: \WINDOWS\SYSTEMS32\CONFIG\SYSTEM

You can attempt to repair this file by starting Windows Set up using the original set up CD-ROM. Select 'r' at the first screen to start repair.

Tatizo sina hiyo original setup CD-ROM na naomba msaada kwa wadau kwa solution ya hili tatizo.

Thanks
 
hapo huna ujanja zaidi ya kutafuta hiyo cd ya windows tafuta cd ya windows kama unatumia windows xp au 7 ili uweze ku repair hiyo windows kuna file limefutika hapo
 
If u can pay attention to detail and atleast have middle level competecy in working with computer You should be able to work it out yourself

Hata hivyo maelezo ya hayajitoshelezi kukupa alternatives nyingi. Haijulikani hiyo Mashine ilikuwa na OS gani(XP, Vista 7) Version gani( Home, Professional) na ni model gani ya brand gani ya computer.

But unaweza kusoma hii artilcle ya microsoft. How to recover from corrupted registry

Unaweza pia kusoma na hapa kwenye hi forum

Kama una net unaweza kupakua windows XP cd inayoendana na OS uliyokuwa nayo kwenye torrent mtandaoni

Kama ni XP proffesional pakua hii

Kama ni nyingine tafuta kwenye hiyo site burn CD tumia CD ku-repair. Kama mashie yako inaruhusu kuboot na USB utakuwa na option nyingi zaidi

Otherwise tafuta internet cafe ya karibu wape mafundi mshiko wakurekebishie
 
If u can pay attention to detail and atleast have middle levelecompetecy in working with computer You should be able to work it out yurself

Hata hivyo maelezo ya hayajitoshelezi kukupaa lternatives nyingi. Haijulikani hiyo Mashine ilikuwa na OS gani(XP, Vista 7) Version gani( Home, Professional) na ni model gani ya brand gani ya computer.

But unaweza kusomahii artilcle ya microsoft. How to recover from corrupted registry

Unaweza kusoma na hapa kwenye hi forum

Kama una net unaweza kupakua windows XP cd inayendana na OS uliyokuwa nayo kwenye torrent mtandaoni

Kama ni XP proffesional pakua hii

Kama ni nyingine tafuta kwenye hiyo site burn CD tumia CD kurepair. Kama mashie yako inaruhusu kuboot na USB utakuwa na option nyingi zaidi

Otherwise tafuta internet cafe ya karibu wape mafundi mshiko wakurekebishie

Operating system yake ni XP lakini sijui kama ni home au professional na aina ya computer ni HP Compaq. Nitawezaje kutambua kama ni windows xp home au professional ?
 
Operating system yake ni XP lakini sijui kama ni home au professional na aina ya computer ni HP Compaq. Nitawezaje kutambua kama ni windows xp home au professional ?

Mhhh hard question lakini kama ni HP si kuna sticker somewhere za windows keys . Au haikuja na OEM licence. Na je umejarbu ile option ya Last known good configuration imegoma.

Lakini we fanya hivi kurahisissha . Pakua OS ya widows Profeesinal hapa tengenza CD tumia CD kurepair.
 
Thanks mkuu, nimeiona hiyo sticker, OS ni Vista downgraded to XP pro. Hiyo link imegoma kupakua OS ya windows professional antivirus imezuia (Eset Smart).
 
Thanks mkuu, nimeiona hiyo sticker, OS ni Vista downgraded to XP pro. Hiyo link imegoma kupakua OS ya windows professional antivirus imezuia (Eset Smart).

Exit Antivirus unayotumia, right click icon yake then click exit au Disable....the download!!
 
imwagie mafuta ya taa then piga kiberiti utakuwa ushaiwasha
 
Back
Top Bottom