Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Mar 28, 2010
624
1,020
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
 
Last edited by a moderator:

Pole Bro... Utaipata tu.... Ila itakugharimu tuu... Ka mda.

Apple i
 
Back
Top Bottom