Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,020
Nina wadogo zangu kama wawili nawafahamu, mmoja kaenda jela mwingine bado yuko mahabusu. Serikali hii ingewatumia vijana wote wenye elimu za chuo na fani zinazoeleweka kama vile IT, Programming na Computer Science kuwatawanya kwenye Halmashauri ambazo bado hazina mifumo ya kieletroniki, systems n.k. au kuboresha na kuimplement Apps na mambo ya kimtandao.
Kwa mfano labda selo au gereza lao lingekuwa ni Computer Lab, ukivumbua au kudevelop kitu cha maana basi ndio msamaha wako...kuliko kuwafunga, kuwatorture na kuwalaza mahabusu na taaluma zao kwa makosa ya Cyber.
Ni ushauri tu.