Search results

  1. AKAN

    Msaada kwa wenye ujuzi wa IBAN na SWIFT CODE

    Natumaini wote ni wazima wa afya, Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank, nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa. Natanguliza shukrani.
  2. AKAN

    Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  3. AKAN

    Natafuta hizi bidhaa

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Poleni kwa majukumu, naomba kufahamishwa ni wapi nitapata hizi taa kwa Dar es Salaam.
  4. AKAN

    Natafuta hizi kofia

    Habari ya muda huu wana Jamiiforums, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza., nahitaj kufahamishwa ni maduka gani/wapi naweza pata hizi kofia kwa hapa Tanzania.
  5. AKAN

    facebook....

    :eek::eek::eek::eek::eek:
  6. AKAN

    vi-wonder

    haya sasa tanzania ya vi-wonder imeanza:D:D:D:D:D:D
  7. AKAN

    je hii inewezekana kweli?

  8. AKAN

    Hisabati nakupenda...

  9. AKAN

    If you remember them say something.....

  10. AKAN

    Hodi

    habar zenu great thinkers
Back
Top Bottom