Castr JF-Expert Member Apr 5, 2014 33,754 67,724 Jan 14, 2017 #4 Huyu ni Msukuma na hii ni mara ya kwanza kufika Coco Beach.
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,277 15,523 Jan 14, 2017 #5 Ndio shida ya kusoma tuition mambo ya mbele....sasa wewe uko form one tu umeshasoma electrolysis unategemea nini
Ndio shida ya kusoma tuition mambo ya mbele....sasa wewe uko form one tu umeshasoma electrolysis unategemea nini
AKAN JF-Expert Member Oct 23, 2016 970 947 Jan 14, 2017 Thread starter #6 kunze said: Huyo itakuwa ni mnyaturu Click to expand...
AKAN JF-Expert Member Oct 23, 2016 970 947 Jan 14, 2017 Thread starter #7 Patrickn said: Ndio shida ya kusoma tuition mambo ya mbele....sasa wewe uko form one tu umeshasoma electrolysis unategemea nini Click to expand... hahaha..!! ana ndoto za kuwa TO(Tanzania one)
Patrickn said: Ndio shida ya kusoma tuition mambo ya mbele....sasa wewe uko form one tu umeshasoma electrolysis unategemea nini Click to expand... hahaha..!! ana ndoto za kuwa TO(Tanzania one)
AKAN JF-Expert Member Oct 23, 2016 970 947 Jan 14, 2017 Thread starter #8 Castr said: Huyu ni Msukuma na hii ni mara ya kwanza kufika Coco Beach. Click to expand... ngoja waje wakina faru..........
Castr said: Huyu ni Msukuma na hii ni mara ya kwanza kufika Coco Beach. Click to expand... ngoja waje wakina faru..........
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 14, 2017 #10 Kavua shati na akili kwa pamoja
AKAN JF-Expert Member Oct 23, 2016 970 947 Jan 15, 2017 Thread starter #11 Totos Boss said: Kavua shati na akili kwa pamoja Click to expand... hahaha, na akili pia..!!!!
Tarakilishi JF-Expert Member May 19, 2013 2,181 2,448 Jan 15, 2017 #12 We unamcheka, lkn hapo mwenzio anazalisha chumvi na anauza.