Search results

  1. D

    Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Jamani mbona juzi tu tena hao viongozi wa dini walikuwa CDM na tuliwasifu kwa nyimbo na mapambio inamaana mmesahau kwa muda mfupi hivi, mimi siamini hapa kuna jambo linahitaji kujadiliwa. Au kwa sababu leo wako na JPM tunaanza kuwasema, hapana mtakuwa Mafalisayo wanafiki, tulizeni vichwa mtaujua...
  2. D

    Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  3. D

    Uchaguzi 2020 CCM haina uwezo wa kumuondoa mgombea yeyote kwa sababu ya kutoa rushwa, labda iwe kwa sababu nyingine

    Nakumbuka mlianza nguvu ya soda nguvu ya soda mara nilikuwa nasikia mfumo mfumo leo hii sisikii chochote, nadhani muda utaongea kama ulivyoongea kwa yaliyopita. Tuliposema CCM na Tanzania mpya utaelewa tu subiri acha ku.. Jiandaeni kwa maumivu makali ambayo hamjawai kuyapata maana baada ya JPM...
  4. D

    Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  5. D

    Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  6. D

    Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili. Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili...
  7. D

    Gwajima na siasa za Ubunge

    Lakini si kuna utaratibu wa kufuta kauli
  8. D

    Naupenda sana Mfumo wa Vyama Vingi lakini unatugawa sana Waafrika kuna haja ya kuchukua tahadhari kwani tutapoteza kabisa Umoja wa Kitaifa

    Mapokezi ya Tundu Lisu popote pale duniani usinge weza kuyaficha kwani Lissu si kushangaza umma bali tendo lile la kushambuliwa na watu wasiojulikana na kupigwa risasi 16 lilikuwa baya na lakulaaniwa na watu wote Je, ilikuwa sahihi kufanya maandamano wakati Mwili wa hayati Rais mstaafu...
  9. D

    Gambo ‘kwa unyoonge’ akabidhi ofisi Arusha

    Mimi sijaona unyonge wowote hapo
  10. D

    Uchaguzi 2020 Kuna kila dalili mwaka huu CCM inatoka madarakani

    Yaani hata kuchangia mada yako ni ngumu kwani hata hao Chadema hawakuelewi wanaogopa kusema hayo maneno na nadhani uliposema upo Dodoma au upo Milembe hapo dodoma. Najua madaktari watafanya kazi kukusaidia utapona tu ndugu
  11. D

    Hivi jamani, hamuoni aibu kila kitu ubalozi wa Marekani, kikitokea kitu mnakimbilia kusema tutashtaki Marekani? Ni ushamba

    Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
  12. D

    CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Du. ndugu tena unaonekana macho yamekutoka ile mbaya, kweli: Kwa kipindi cha miaka 20 CCM imekuwa na wenyeviti 3 yaani Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na sasa Magufuli lakini kwa miaka zaidi ya ishirini ni Freeman (mtu huru) pekee yeye ndiyo yupo ofisini. Pia kwa kukusaidia tu nilitaka nikukumbushe...
  13. D

    CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Anasura mbili hapo katokea kibandidu sijui kama atapona mtu huko Ufipa
  14. D

    CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100% Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu. Leo hii wameweka...
  15. D

    Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

    Huko Malawi vyama vipo kwa maslai mapana ya taifa la Malawi lakini hapa kwetu chama kwanza alafu taifa kesho,
  16. D

    Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

    Huko Marekani mnakokimbilia kilasiku ndiyo hari ni mbaya kuliko na muda si mrefu Trump atatangaza utawala wa kinazi nadhani sasa mtakimbilia china
  17. D

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Unapokuwa umelogwa alafu aliyekuloga kafa inamaana uwezi kuaguliwa tena.
  18. D

    Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Akson afanya tena jambo kubwa lililomshinda Sugu kipindi chake chote cha ubunge, apongezwa kila kona

    Tuli-pakumpa alisha malizaga katika yale mazishi makubwa ya kuizika Chadema
  19. D

    Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Kama wanaweza kuzusha Mwenyekiti Freeman Mbowe kavamiwa na watu wasiojulikana kumbe alikuwa amelewa chakali hapa inaonekana serikali imevumilia mengi sana kutoka katika gazeti hilo.
Back
Top Bottom