Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
361
500
Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili.

Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili nje sana huyu jamaa.

Na wengi wetu hatujui ugumu wa kazi ya ukuu wa mkoa, tena mkoa kama Mzizima, tena ukiwa kiongozi kama Mkaonda anayeibua matukio mazito mazito ambayo yakigonga katika jamii yalikuwa yanamludia vipande vipande kama mawe yanamgonga gonga mwilini na yeye ananyama hivyo alikuwa anaumia.

Kazi ya ukuu wa mkoa mjue haina mafungu labda mkurugenzi akupe krosi au pasi ndiyo utoke. Jamani ukiwa mkuu wa mkoa siyo kama zamani, kwani zamani ulikuwa na uhakika miaka yote 10 kuwa ofisini labda ubadilishwe mkoa au kupata cheo zaidi lakini kwa sasa ni tofauti hadi siku ikiisha na jua limezama ndiyo unapumua.
Lingine lazima mjue na kuamini wajumbe siyo watu..

Makonda amejijenge sivii kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi. Makonda yupo kama buludoza hanaga woga, kama noma yeye anakubaligi iwe noma, anaujasiri mkubwa wakumvaa mtu hata kama ninyi mnamuona kwenu anaheshma yeye anampandia ilimladi akiamini huyo mtu amekosea anauwezo wa kusema nae.

Kwa sisi tunaoishi Dar tutakubali kuwa alikuwa anatuchangamsha sana kama tunafanya mazoezi bila kujua hapa mjini.

Hivyo Makonda ni hazina kubwa kwa taifa kwani kutereza siyo kuanguka.
 

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,090
2,000
Makonda ni makini sana,kawatuliza wale waliokuwa wanajifanya wa mjini,wamenywea wote,wamebakiza matusi tu nyuma ya keyboards kupunguza nyongo zao
 

Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
499
1,000
Naona wananchi wangu wa mkoa wa Dalethalamu mmeanza kunimithi.
Dalethalama iz thefu, tutakutana wizarani baada ya uchaguzi kumalizika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom