Search results

  1. M

    Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake. Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
  2. M

    Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

    Nawasalim wote Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022. Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona...
  3. M

    Niliwahi kuwa changudoa: Kileleni haihitaji baunsa wala tolu

    Mama Mchaga, baba Mngoni Arusha. Nimewahi kuwa Changudoa, nilifanyia Nairobi Kenya. Rejea kisa katika NILIWAHI KUWA CHANGUDOA- JE, NIMJULISHE LEO NAZUNGUMZIA KUFIKA KWA MWANAMKE kupitia uzoefu nilioupata kwenye uchangudoa. Ikumbuke nliachana na uchangudoa tokea 2010. Mkaka/Mteja Alex...
  4. M

    The Ugandans living on an island floating in Lake Victoria

    A piece of land has broken off Uganda's mainland and has been floating around Lake Victoria for close to four months. The BBC's Patience Atuhaire met the artists who have set up home there. As we approach the island, the first thing that stands out is the Ugandan flag on an improvised pole high...
  5. M

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga Ilikuwa hivi; baba na mjomba waliwekwa Korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha. Mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla kama saa nne mama akaja shuleni (day skuli) akatuchukua (wawili, mdogo alikuwa hasomi) bila kupitia...
  6. M

    mugabe akianguka kama mlevi sakafuni-27 walinzi watimuliwa

    APZimbabwean President Robert Mugabe, center, falls after addressing supporters upon his return from an African Union meeting in Ethiopia, Wednesday, Feb. 4, 2015 Read more: Zimbabwe dictator Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images - Business Insider
  7. M

    To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

    Boy friend wangu yupo masomoni mwaka mzima,nilipozidiwa nkaanza tabia ya kutoka njee na bosi wa clearing and freight foward then kitabia cha kutoka na wenye hela kikashika kasi tena sana hapa nilipo najihisi kutokuwa normal manake ili nijisikie raha na kutosheka I must get booked, travel at...
  8. M

    paka ageuka binadamu live....kwa sasa yupo mabibo

    ....ilikuwa hivi paka alikuwa amezubaa njia panda eneo la mabibo beach boy, hili eneo hukaa, huzurura vijana wengi wasio na bahati ya ajira inayoeleweka jamaa mmoja akamrushia jiwe kimasihara paka akawafwata kundi la watu kwa mkwara flani, watu wakaongeza kasi ya kumrushia mawe akajaribu...
  9. M

    Wakaka, hata kama hujampenda mdada, mtimizie

    home arusha,baba mngoni, mama mchagga.....kwa sasa nipo dar kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana skutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati...
  10. M

    wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

    home arusha, mama mchagga baba mngoni jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi? think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila umechagua sana na umevitafuta masoko yote ya mitumba. ....anatokea mkaka kunako wapi sijui hata kama ofisi...
  11. M

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    arusha, baba mngoni, mama mchagga .........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa...
  12. M

    ITOKEJE...customized/personalized plate namba

    waziri wa Fedha karuhusu CUSTOMIZED /PERSONIZED PLATE NUMBER a.k.a plate namba ya utakavyo Naamini karibuni tutayaona magari yenye plate namba za RUTASHOBYA 01, RUTATORA 01,RUGAMALILA 01, MALARIA SUGU 1, note:Starlet yangu itatoka kwa JF MARYTINA or CDM 2015 SENGEREMA GARI YAKO UNATAKA...
  13. M

    End of the Road.... kila mwanaume... i need a JF Rescue team

    seriously......kila baada ya successfully kukaa alone kwa miezi minane (kumb:my mchumba alisafiri kimasomo to belgium) then nikajisifia naweza ishi maisha yote yalobaki bila mwanaume My mchumba aliporudi likizo (five weeks )tukafungulia kama vile kuikomoa dunia. Ni mwezi mmoja tu umepita...
  14. M

    natamani ningekuwa na miaka 50+ ..........

    @ausha,baba mngoni ,mama mchagga....... ......wa kwanza alikuwa mhaya, bishoo sana, very bright , home kwao nusu ulaya Huyu alinisumbua sana, na alinipotezea sana kujiamini ilifikia wakati hata 1+1=2 naomba confirmation kutoka kwake utoto +dharau zake zilinifanya NISHINDWANE NAYE.(Thanks God...
  15. M

    Siasa za vyama ingekuwa soka....ningemuuza Zitto Kabwe na kumnunua January

    Think of wewe ni meneger/kocha wa timu ya siasa (cdm or ccm) 1.Wabunge/wanaharakati wawe wanasajiliwa kama wachezaji wa soka 2.sheria za usajili ziwe zinaruhusu kusajili/kuuza hata kwa muda wa mwezi mmoja... a) CDM: Kocha mimi ningemuuza Zitto Kabwe kwenda CCM, ningemnunua January kuja cdm...
  16. M

    Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

    @arusha, baba mngoni, mama mchagga ...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI?? nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi. Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi...
  17. M

    Naanza kumkubali/kumpenda JK

    pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa Tz kwa 1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali hata kama wabunge wa CCM waliigomea serikali lakini JK personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa...
  18. M

    Nashindwa kumwambia akatae

    @geneva of Africa, baba mngoni, mama mchagga
  19. M

    vichwa vya habari jumatatu ijayo-serikali yaolewa

    Mgomo wa madaktari serikali yaolewa Pinda apindwa anyooshwa mwishowe akatika Kingwalalah shujaa wa CCM nKYA,blANdiNA ,Haji wakajifunze nidham makwao
  20. M

    form two to form three-kila nimwonapo nacheka kabakia kuniuliza kwa nini huwa namcheka sana

    @arusha, baba mgoni, mama mchagga By that time my dady and uncle were serving jail sentense, uchumi home ukayumba sana ikalazimika mabanda ya uani tuwape WAPANGAJI. nilikuwa form two to three boarding school, mama alikuwa mkali kupitiliza hamna mwanya wa kutoka home labda tufwatane nae au...
Back
Top Bottom