ITOKEJE...customized/personalized plate namba

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,290
7,144
waziri wa Fedha karuhusu CUSTOMIZED /PERSONIZED PLATE NUMBER a.k.a plate namba ya utakavyo

Naamini karibuni tutayaona magari yenye plate namba za RUTASHOBYA 01, RUTATORA 01,RUGAMALILA 01,

MALARIA SUGU 1,

note:Starlet yangu itatoka kwa JF MARYTINA or CDM 2015 SENGEREMA

GARI YAKO UNATAKA ITOKEJE????? .......TZ 2015 CDM be reserved for Dr.Slaa
 
Hii makitu mi nimeanza kuiona UG , just more than 10 yrs a go. Swali langu inapendezaje vitu wenzetu tena sio wa mbali washavifanya miaka lukuki, sie ndo tunavianza? Wakati wenzetu wanafikiria vyanzo vipya zaidi vya Kodi.
Au tuliumbwa waTz kuwa wakuchelewaga!
Mimi sijui .
 
Mkuu hata hapa kwetu nadhani ipo, kuna siku nishawahi kuona gari yenye maandishi "MUGANYIZI 1"
 
sipati picha gari la Bishanga litaandikwaje hizo mbwembwe zake mtaani hapatakalika kabisa.
 
Mkuu hata hapa kwetu nadhani ipo, kuna siku nishawahi kuona gari yenye maandishi "MUGANYIZI 1"

Au labda itakua ilikua imetokea Ug, kwani that name also Ug are plenty!
Wahaya & waganda shangazi na mjomba.
 
Back
Top Bottom