vichwa vya habari jumatatu ijayo-serikali yaolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vichwa vya habari jumatatu ijayo-serikali yaolewa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Marytina, Feb 7, 2012.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mgomo wa madaktari serikali yaolewa
  Pinda apindwa anyooshwa mwishowe akatika
  Kingwalalah shujaa wa CCM
  nKYA,blANdiNA ,Haji wakajifunze nidham makwao
   
 2. N

  Ninliy Senior Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadae wakakae kwa dr.slaa
   
 3. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Is that joke?
   
 4. brightrich

  brightrich Senior Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Lakini jamani wanaoteseka ni watanzania wenzetu ambao hawana uwezo hata wa kwenda hospitali binafsi, inasikitisha sana ni mwezi sasa serikali iko kimya! Inauma sana, watu wanapoteza maisha bila hatia! Ee Mungu sikia kilio cha watanzania.
   
Loading...