Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Feb 16, 2012.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  @arusha, baba mngoni, mama mchagga

  ...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??

  nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.

  Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.

  Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.

  Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  safi sana @arusha mamaa marytina..
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  namuonea huruma ila raha jipe mwenyewe mwanaume niliyemzidi atakuwa hana joto
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Fanya kile roho inapenda. Nimependa kitu moja, hukutaka kumdharau kama wenzio, umeamua kumuacha kibusara.
  Nahisi na yeye atakuwa na busara zaidi ya kukataa hiyo probation ya miezi sita
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hajui kama nimemweka kwenye probesheni, hii nimeweka kimyakimya
  siwezi mdharau ni kipato tu tofauti yetu
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  vipi ule mpango wa kukwapua vitrilion hapo job kwako umefikia wapi?
   
 7. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Romance without finance is a nuisance!
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,076
  Trophy Points: 280
  usiache mbachao kwa msala upitao........................
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hilo ni moja kati ya mambo yanayonifanya nimwache mshikaji manake amenizuia nisipige mipesa wakati hali yetu checheme chechemea
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  nimeshuhudia wanaume kibao waliowaacha wake zao kisa mafanikio ya wanaume kipesa
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Marytina Marytina.....
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mtamzawadia mtoto kisirisiri (the second born manake first born new mchumba anaweza kushtukia)
  nampenda sana my upcoming x-bf
   
 13. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  shikamoo....................
   
 14. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ukikua utafikiria zaidi ya hapo.
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ...abe.........unasemaje shosti
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  siioni ndugu!!!!!!!!!!!
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wewe ndiye hujakuwa na huuoni umuhimu wa pesa kwa kuwaandalia watoto watarajiwa maisha bora
  achana na wazee wa kizamani pesa ni karibia kila kitu na mwili wangu haukumbatiwi na niliyemzidi
   
 18. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  If love is money, marry the bank.
   
 19. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  huna lolote kujipaisha tu pesa kitu gani bana
   
 20. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Njoo nikumege kwanza upate akili..........maana nina uhakika ninakuzidi kila kitu kasoro ukanjanja.
   
Loading...