To be honest, nikilala na mwanaume asiye na hela sitosheki

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,226
2,000
Boy friend wangu yupo masomoni mwaka mzima,nilipozidiwa nkaanza tabia ya kutoka njee na bosi wa clearing and freight foward then kitabia cha kutoka na wenye hela kikashika kasi tena sana hapa nilipo najihisi kutokuwa normal manake ili nijisikie raha na kutosheka I must get booked, travel at least 30 km and in isolated premise, huko nkifanya nafika hata mara tatu for single night mpenzi wangu karudi ila hanifikishi tena, nampenda ila sjui nifanyeje manake tatizo ni pesa na siyo calories.

note 1:baada ya kusoma comments 40 wadada tuacheni unafki mnanitukana wakati woote hapa ofisini mnataka mwenye hela.
2;eleweni kuwa kwa gharama yoyote sitomwacha mpenzi wangu nampenda ila ukweli nanyegeka kwa pesa.
 

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
8,920
2,000
Hamna ni ubongo wako unacheza trick na ww,huna hisia tena na huyo mpenzi wako wa ukwee ndio maana unaona hakufikishi kwasababu unashajiwekea kwenye ubongo wako unataka ufanyiwe vitu kadhaa bin kadhaa ili ufikishwe kama ulivyosema upelekwe nje ya mji blah blah blah......Muache tu kijana wa watu we endelea na huyo boss wako :)
 

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
1,225
...bf wangu yupo masomoni
mwaka mzima
nlipozidiwa nkaanza tabia ya kutoka njee na bosi wa clearing and freight
foward
then kitabia cha kutoka na wenye hela kikashika kasi tena sana

hapa nlipo najihisi kutokuwa normal manake ili nijiskie raha na
kutosheka i must get booked, travel at least 30 km and in isolated
premise, huko nkifanya nafika hata mara tatu for single night

mpenzi wangu karudi ila hanifikishi tena, nampenda ila sjui nfanyeje
manake tatizo ni pesa na sii calories

achana naye uendelee na biashara(ukahaba) kwani ushavurugwa wewe
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,797
2,000
Hehe sio wanapokezana ili kufikishana? Ngoja The Boss akitoka nae 30 kms from town atupe jibu. Asije akageuziwa kibao atii, hiruma nazo zinaponzaga!
Hahahah hivi alisema nani alikuwa anacheza role ya mwanaume? nshasahau.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom