natamani ningekuwa na miaka 50+ .......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natamani ningekuwa na miaka 50+ ..........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Mar 7, 2012.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  @ausha,baba mngoni ,mama mchagga.......


  ......wa kwanza alikuwa mhaya, bishoo sana, very bright , home kwao nusu ulaya

  Huyu alinisumbua sana, na alinipotezea sana kujiamini ilifikia wakati hata 1+1=2 naomba confirmation kutoka kwake
  utoto +dharau zake zilinifanya NISHINDWANE NAYE.(Thanks God amejiingiza mwenyewe kwenye kula UNGA ni msomi anayefungiwa getini kwao asitoke maana ni nusu mwehu)

  ........wa pili and i used kujidangannya the last ni mmassai aliyekulia AR tokea utotoni.Huyu nilimpata kanisani, mwanakwaya, from low class family, working for TOUR OPERATORS, MCHA MUNGU ila naona kila dalili ya kutoswa as days go on.

  Naumia sana.
  Note:NATAMANI NINGEKUWA NINA 50 yrs old (bibi) UNGEKUTA SISUMBUKII chochote kuhusu mapenzi na dunia zaidi ya kukumbuka harakati za ujana nlizopitia.

  nizae na mtu ni mtu.....au nifanyeje na nsipokuwa na mme rasmi itakuwa mateso maishani?ila huyu mmasai nampenda sana siwezi mwona akiwa na msichana mwingine blood vessels zitapasuka.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  yaani na ujanja wako wote unakosa mwanaume my dia?
  ukitaka kupata mwanaumme mzuri we tulia tu watakuja wenyewe,usiishi kwa kupretend
  kuwa na hulka za kike.inaelekea wewe unalazimisha mapenzi ndo maana yanakutesa.huyo mmasai unamngangania wa nini? kama hakutaki huwezi badilisha kitu
  songa mbele
   
 3. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  mabibiiii na mabwanaaaaa!kwa mara nyingine tena,huyu hapa.....maryiiiiiii tinaaaaaaa!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kwani una miaka mingapi sahv?
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  We vipi bana, wawili ushaanza kuchanganyikiwa?

  Go on... wa tatu, wa nne, wa tano, wa sita, wa saba... then hapo unaruhusiwa kuanza kuchanganyikiwa...

  kama ni mtoto, mbona hata huku JF mbegu zipo?
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe Marytina bana, Kuna vibibi vipo 50 na bado mziki wake unaweza ukaomba maji. Ile kitu samtaimu haina umri bana. Hivi madonna ana umri gani?
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kweli dia nimekosa wa kuwa mme (not just mwanaume ni mwanaume)
  kama ni wanaume wa kupeana kampani sichukui hata 2 hrs bila kumnasa, thanks GOD my body inaniuza haraka
  hapa nazungumzia mume na si hawara

  huyo mmasai kama vile anapassword zangu za luv yaan sikubali
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kwani nikoje????????SIJAKUSOMA
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kwa hhuu umri bado ntateseka sana kwenye hii dunia na vijiumbe viitwavyo mume
   
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu masai ndiye uliyedondokea kwake baada ya kuongezewa mshahara?
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nikipata chance ya kulala na mmasai wangu one more time ntazichukua hata zikiwa kwenye kondom nikajimimbe nampenda sana
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kama una 50 bado una kiu ya kuwa na mpenzi utakuwa kichaa
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Promo Only.
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  no huyu ndiye niliyekuwa na hisi kumwaga nikashindwa kuushinda moyo manake nampenda sana
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mbona umemzimia mmasai sana au hile kitu yao wanayoachaga kipindi wakifanya jando ndio imekuchanganya? Je na huyo katerero haingii kitu kwa mmasai?
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  achana nae
  kwa nini ujitese ?
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Come down baby... he will be there for u...
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  usiruhusu mateso, usiruhusu majeraha ya moyo.
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Sawasawa kungwi husninyo. Mmalizie dozi
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  smile dear nielekeze kila kitu ntakubali ila sii cha kuachana na huyu mmassai.
   
Loading...