End of the Road.... kila mwanaume... i need a JF Rescue team

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,203
6,975
seriously......kila
baada ya successfully kukaa alone kwa miezi minane (kumb:my mchumba alisafiri kimasomo to belgium) then nikajisifia naweza ishi maisha yote yalobaki bila mwanaume

My mchumba aliporudi likizo (five weeks )tukafungulia kama vile kuikomoa dunia.

Ni mwezi mmoja tu umepita tokea aondoke kwa mara ya pili ila nina balaa yaani NIMTAMANI KILA MWANAUME......and i hv been in this matamanio for four days now.Nikitoka kazini tu nakimbilia home nakaa na mama na wadogo zangu hapo nakuwa salama.
 
usije ukabaka kuku..teh
acha kuwaza ngono my dear...
mbona mimi nina miaka mitano napotezea tu..
big deal ni nini hata...
 
usije ukabaka kuku..teh
acha kuwaza ngono my dear...
Mbona mimi nina miaka mitano napotezea tu..
Big deal ni nini hata...
nilipotezea kwa miezi minane nashangaa this time ndio kwanza mwezi mmoja napagawa na kila mwanaume
 
seriously......kila
baada ya successfully kukaa alone kwa miezi minane (kumb:my mchumba alisafiri kimasomo to belgium) then nikajisifia naweza ishi maisha yote yalobaki bila mwanaume

My mchumba aliporudi likizo (five weeks )tukafungulia kama vile kuikomoa dunia.

Ni mwezi mmoja tu umepita tokea aondoke kwa mara ya pili ila nina balaa yaani NIMTAMANI KILA MWANAUME......and i hv been in this matamanio for four days now.Nikitoka kazini tu nakimbilia home nakaa na mama na wadogo zangu hapo nakuwa salama.

I wish ningekuwa karibu yako kwa ushauri zaidi....
 
nilipotezea kwa miezi minane nashangaa this time ndio kwanza mwezi mmoja napagawa na kila mwanaume
doh wanakupagawishaje? wewe ukuwaona unawaza hapo chini tu au inakuwaje? unawavua nguo mawazoni mwako sio?
 
aisee, stori mbona yangu hiyo..sema jina tu ndio limebadilika..na mimi najisikia hivyo hivyo yaani..bora kuna mwenzangu hapa najiona siko mwenyewe mwenye tatizo kama hilo, yaani natamani kila msichana ninayemwona mbele yangu..yaani nimesoma jina lako tu tayari nimeshakutamani..sijui hii hali itakwisha lini..
 
Jaribu haya makitu wanayaita vibrator, google to find out more
nyie ndio wale wawakilishi wazuri wa shetani nyie, Mungu hakuumba vibrator aliumba sehemu za kiume zitumike kwa wakati wake na kwa njia sahihi..sasa hiyo vibrator..imekujaje humu..au na wewe ndio uimeshageuza vibrator kuwa mumeo rasmi?? acha kuingiza wenzako katika tabia za ajabu ajabu kama hizi..nyie ndio mnaotuletea kiama..shindwa na ulegee
 
seriously......kila
baada ya successfully kukaa alone kwa miezi minane (kumb:my mchumba alisafiri kimasomo to belgium) then nikajisifia naweza ishi maisha yote yalobaki bila mwanaume

My mchumba aliporudi likizo (five weeks )tukafungulia kama vile kuikomoa dunia.

Ni mwezi mmoja tu umepita tokea aondoke kwa mara ya pili ila nina balaa yaani NIMTAMANI KILA MWANAUME......and i hv been in this matamanio for four days now.Nikitoka kazini tu nakimbilia home nakaa na mama na wadogo zangu hapo nakuwa salama.

i thnk u need to talk with me nikupe ushauri na msaada zaidi...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom