tongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake. Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
  2. Wadiz

    Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

    Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
  3. JOEkizyi

    Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

    Hello JF members, Shida yangu ni kuwa kila nikimtongoza msichana naishia kutukanwa hadi kushushuliwa. Naomba ushauri wenu ninyi mnafanyaje jamani kunasa viumbe hawa mpaka wanajaa geto hawa viumbe, au kamzizi gani kanafanya kazi wakuu? Msaada. Nawasilisha.
  4. Mpwayungu Village

    Wadada wengi wanaouza mihogo mibichi mitaani wanatongozeka kirahisi sana

    Mtanisamehe kama kuna mtu dada yake ni mlengwa ila hapa tupo kupeana uzoefu. Iko sawa kabisa siku ukishikwa na ashki naunataka kuosha rungu chap kwa haraka wewe chukua contact za hawa wadada, ukimtext akuletee mihogo ya buku mbili nazi na karanga hamalizi dk 3 keshafka. Muungishe hata ya buku...
  5. proxy

    Binti ninayemtongoza anataka nimuazime Tsh. 100,000/-

    Wakuu habari za muda huu, Nisiwachoshe na mambo mengi ngoja nije moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita katika harakati zangu za kutafuta nilikutana na binti mrembo kiasi. Kama mjuavyo hulka ya mwanaume anapokutana na pisi lazima utesti mambo. Kwangu pia ilikua hivi toka siku nilipokutana...
  6. Jimmy ally

    Sipendi kuzungushwa na mabinti ninaowatongoza

    Habari wazalendo, Mimi sipendi kuzungushwa na hawa watu wanaojiita pisi kali, yaani unamtafuta anakuzungunsha wakati ndio atakula pesa yako yaani nitafute pesa kwa shida halafu nikubebeleze uje kula pesa zangu. Nikikutongoza siku tatu haueleweki nafuta na namba, dunia ituzungushe nawe...
  7. ngotho

    Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

    Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu.. Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy. huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea...
  8. M

    Hivi wanaume wote wapo kama mimi?

    Sijui nina moyo mdhaifu kila mwanamke Mzuri nikikutana naye najikuta nampenda na natamani kuwa naye, yaani kwa siku nikikutana na wanawake 10 basi nane nitakuwa nimewatamani.
  9. mshale21

    Ukiwa na pesa, gari au mtanashati wanawake hawakatai ukiwatongoza

    Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto. Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo! Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay...
  10. ndege JOHN

    Mwanamke atakayenitongoza ndiye atakayenivumilia

    Nishatongoza Sana wadada Na bado tukaachana.sikuwahi kufikiria Kama nitakuja kukosa mke wa kuoa kwani wadogo zangu wengi tu wanaishi na wake zao na Wana watoto tayari.labda kwa sababu Mimi nilikuwa shule muda mrefu, nimechagua wengi naona hatuendani. Mpaka sasa hivi sijapata mwanamke hata mmoja...
  11. A

    Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

    Huyu mdada nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext ...
  12. Beira Boy

    Ulishawahi kula tunda kwa mbinde kiugumu ugumu?

    Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Unajua katika life unaweza tongoza demu ukatumia hata miaka saba au minne. Yaani unaweza tongoza dem kuanzia la kwanza lakini ukaja ukamla mkifika la saba. Pia unaweza tongoza demu kuanzia kidato cha kwanza...
Back
Top Bottom