Siasa za vyama ingekuwa soka....ningemuuza Zitto Kabwe na kumnunua January | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za vyama ingekuwa soka....ningemuuza Zitto Kabwe na kumnunua January

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Marytina, Feb 29, 2012.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Think of wewe ni meneger/kocha wa timu ya siasa (cdm or ccm)

  1.Wabunge/wanaharakati wawe wanasajiliwa kama wachezaji wa soka
  2.sheria za usajili ziwe zinaruhusu kusajili/kuuza hata kwa muda wa mwezi mmoja...

  a) CDM: Kocha mimi ningemuuza Zitto Kabwe kwenda CCM, ningemnunua January kuja cdm ingalao kwa mwaka mmoja
  Joseph Selasini ningemkata mshahara wa mwaka mzima


  b)CCM: ningemrudisha JOHN SHIBUDA, huku nikimtoa bure H.Kigwalala akahudumu hospitali ya vichaa kwani watawezana
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Chit chatized politics.

  Mie ningepaka nywele zangu chokaa ili niwe pawafu.
  Hawa nawaona kama ngoma ya vigori, haikeshi.
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ooooooh_God give us back Chacha Wangwe,we will give you Anne Makinda and Juma Nkamia.
   
 4. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vipi kuhusu kaptein john komba,stevin wassira,stevin massele,

  anna kilango malecela j4?
   
Loading...