paka ageuka binadamu live....kwa sasa yupo mabibo

paka ageuka binadamu live....kwa sasa yupo mabibo

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,738
Reaction score
8,013
....ilikuwa hivi

paka alikuwa amezubaa njia panda eneo la mabibo beach boy, hili eneo hukaa, huzurura vijana wengi wasio na bahati ya ajira inayoeleweka

jamaa mmoja akamrushia jiwe kimasihara paka akawafwata kundi la watu kwa mkwara flani, watu wakaongeza kasi ya kumrushia mawe akajaribu kuingia nyumba jirani bila mafanikio. mara akaanza kulia kwa sauti kali kwa muda mrefu jambo lililoshangaza

within five minutes yule paka akiwa anajigaragarza akawa anatuna mara gafla akawa mtu live.

watu wakaanza kumpiga ila mie niliwazuia na kuwaomba wamzingire tuone itakuwaje

baadae akaanza kuongea akisema ametokea tabora na yupo pale na bibi yake.Akadai bibi yupo pale kiganjani mwa mkono wako na ndiye anayemjalia uwezo.

ikawa fujo ila polisi waliwahi kufika na sasa yupo kituo cha polisi kawawa shule ya msingi.

alikuwa dogo, kichogo kikubwa na mweusi.
 
Duu kweli uchawi noma,je mngemuua huyo paka inamaana dogo ndo angekua amekufa,
 
Ha!ha!ha!ha!haa.. Ngoja niwatafute vijana wa hayo maeneo wanijuze.
 
Kwa hili hata mimi nitahitaji picha mkuu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
kudadadadeki....labda nisimkute hapo kituo cha polisi...ila nitamkomesha...
 
Duu kweli uchawi noma,je mngemuua huyo paka inamaana dogo ndo angekua amekufa,
nijuavyo ushirikina huyo dogo hana makosa labda ni msukule so isingekuwa busara kuendelea kumpiga
 
Picha kwanza na story ilivyo ndefu ungeshapost tokea akiwa njia panda kabla ya kupigwa mawe
 
bado yupo kituoni kesho naamini media kibao zitakuja na hii habari
simu yangu sio kimera ni ya kishamba

Ameshapelekwa magomeni police post! Watu walikua wengi mpaka police wakaamua kutumia siraha kwa kupiga risasi hewani kutawanya raia
 
bado yupo kituoni kesho naamini media kibao zitakuja na hii habari
simu yangu sio kimera ni ya kishamba
utata Uja???
 
Stori kama manyoya ya paka salender darajani nin? Paka kugeuka kuwa binadamu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom