Search results

  1. LOTH HEMA

    Makabila ya Tanzania ni mengi lakini yanayoonekana wazi ni mawili au matatu

    Tanzania ina makabila zaidi ya 120 lakini yanayoonekana wazi ni mawili au matatu hadi manne tu ambayo yanaonekana wazi hawajaacha utambulisho wao, nao ni wamasai, wasukuma, wabarbeigi na wahazarbe. Hawa utawona wakiwa na mavazi yao hata wakienda mjini utawajua tu hawafichi utambuliko wao...
  2. LOTH HEMA

    Wasaidizi wa Mwakasege

    Inafahamika kuwa wahubiri wengi wa kitanzania huwa hawaandai warithi wao kuendeleleza huduma zao za mahubiri siku ikifika kutwaliwa na muumba wao. Wengi wakitwaliwa huduma zao nazo hufa kibudu kutokana na kukosekana wa kuindeleza. Kwenye hizi semina za Mwakasege kuna wababa wawili wanapokezana...
  3. LOTH HEMA

    Kila aina ya mavazi ina sehemu zake maalumu kuvaliwa

    Kila aina ya mavazi ina sehemu zake maalumu kuvaliwa. Kuna kituo kimoja maarufu cha tv watangazaji wake wamekuwa wakiingia studioni na mavazi ya kidini kuanzia kichwani hadi miguuni. Je ni fasheni? Maana hicho kituo cha tv si cha kidini. Kuna kituo kingine maarufu watangazaji wake hawajawahi...
  4. LOTH HEMA

    Mtu anapoitwa jina la kabila lake

    Imekuwa kawainda mtu fulani kuitwa jina la kabila lake au sehemu anayotoka na jina hilo kumkaa na kukubalika katika jamii anamoishi ugenini kufanya shughuli zake. Majina ambayo yamekuwa maarufu sana utasikia mtu akiitwa muha, mchaga na mpemba, akiwa na duka panaitwa kwa muha, kwa mchaga na kwa...
  5. LOTH HEMA

    Tuelimishane kuhusu uandishi wa arafa

    Kumekua na uandishi wa ajabuajabu wa meseji kwenye simu bila kujali unayemuandikia ni nani na ana umri gani. Mfano wa maneno ni xaxa=sasa, p=poa, vip=vipi, na ufipisho usioleta maana halisi ya neno lililokusudiwa. Inaleta shida sana kwa wazee wenye umri mkubwa inabidi aombe msaada wa kusomewa...
  6. LOTH HEMA

    Watoto waamini asili ya binadamu ni ipi?

    Kwa wale mliopitia shule kuanzia ngazi ya msingi mtakuwa mlikutana na mada ya asili ya binadamu kuwa mwanzo wake ni nyani. Hoja ni kwamba ilikuaje nyani aendelee kuwa nyani hadi leo bila kubadilika asili yake? Utata upo, Biblia na vitabu vya dini zingine kama Qur an vimeandika chanzo cha...
  7. LOTH HEMA

    Sikukuu kama hizi ni kula na kunywa

    Miaka ya nyuma sikukuu kama hii jamii nyingi zilijumuika pamoja kula na kunywa bila kujali nani ana hela au chakula nyumbani kwake,tofauti na sasa kila familia inakula kivyake walichoandaa.Kupata mualiko wa kwenda kugonga menyu kwa ndugu,jamaa au rafiki ni shughuli pevu
  8. LOTH HEMA

    Vyeti vya ndoa

    Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata. Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite. Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...
  9. LOTH HEMA

    Kazi ya ualimu na changamoto zake vijijini

    Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika. Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako. Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira...
  10. LOTH HEMA

    Tanzania na kuandika historia mpya katika uchaguzi mkuu 2020

    CCM ni chama kinachotawala Tanzania.Kimetawala kuanzia mwaka 1977 hada sasa.Tangu mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992 ni CCM tu imeendelea kushinda na kuongoza Tanzania kwa sera zake,chama cha upinzani hakijawahi kushinda uchaguzi. Je,umefika wakati wa kuandikwa historia mpya nchini Tanzania...
  11. LOTH HEMA

    Anayetumbuliwa ana ruhusa ya kuita waandishi wa habari na kuelezea sababu za kutumbuliwa kwake?

    Kutumbuliwa Ni Kuondolewa Kwenye Nafasi Ya Uongozi/ajira Na Aliyekupa. Inapotokea Umeondolewa Madarakani Ghafla,je Hakuna Ruhusa Ya Kuita Vyombo Vya Habari Na Kuwaambia Wananchi Sababu Ya Kuondolewa Madarakani? Yule Anayekuondoa Anapata Jukwaa La Kusema Sababu. Je Anayendolewa Atapata Wapi...
  12. LOTH HEMA

    Kipindi cha SHILAWADU wiki hii hakirushwi clouds tv ?

    Wakuu mpaka muda huu kipindi cha shilawadu hakijaanza kuruka hewani.Badala yake kuna kipindi cha MUSIC MIX na muda unazidi kuyoyoma.Kuna tatizo gani? Tujuzane tufahamu ni nini kimesababisha kipindi kisiwepo hewani wiki hii.Au ndiyo mwisho wake ilikuwa wiki iliyopita?
  13. LOTH HEMA

    Ni lini matokeo ya uhakiki wa vyeti uliofanywa utatoka?

    Ni muda sasa tangu zoezi LA kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma lifanyike.Wananchi hawaoni mrejesho wa hilo zoezi. Majibu yanatakiwa yawe ni watumishi wangapi wamekutwa na vyeti feki na wangapi wamekutwa wanatumia vyeti orijino lakini si vyao ni vya watu wengine. NECTA inapotaka wananchi...
  14. LOTH HEMA

    JPM yuko live TBC 1 ziarani Mtwara.

    Rais Magufuli yupo live ziarani mtwara na amekazia dhana ya utumbuaji majipu.Amesema kwamba anayepinga utumbuaji majipu naye ni jipu.
  15. LOTH HEMA

    Nape Nnauye: Unawezaje kumtaarifu Muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?

    Nape yupo hewani kwenye kipindi cha dak45 cha ITV. Swali la kwanza kaulizwa kuhusu ile kauli yake ya kupinga utaratibu uliotumiwa na makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya. ========== Habari Zaidi Wadau waziri nape yupo hapa anahojiwa na sam mahela itv. Ila naona amempinga wazi wazi mkuu...
  16. LOTH HEMA

    Kola zinazovaliwa na wachungaji huweza kutumiwa na wahalifu pia

    Mwishoni mwa miaka ya 90 nilimsikia mchungaji mmoja akisema kamwe hatavaa kola kama wachungaji wenzake hata kama atakuwa katika matukio yanayowakutanisha wachungaji watupu katika mikutano yao. Alichukia kuvaa kola kwa sababu kwa mtazamo wake aliona kola wakati mwingine huweza kutumiwa na...
  17. LOTH HEMA

    Natafuta kazi ya PRINTING au BINDING. Simu: 0782931280

    Natafuta kazi kwenye kiwanda cha uchapaji na ukunjaji.Aina zote za mashine za uchapaji,za kizamani na kisasa. 0782931280
  18. LOTH HEMA

    Elimu ni ni nini hasa?

    ELIMU inaweza ikawa ni jumla ya maarifa,stadi na mielekeo mbalimbali ya jamii ambayo mtu anaweza kupata kwa kujifunza mwenyewe au kufundishwa.
  19. LOTH HEMA

    Tecno C8 vs Tecno C9

    Habari zenu wakuu.Ninayo heshima kwenu kupata ushauri mzuri wa kufahamu tofauti na ubora wa hizi simu. Ushauri wenu utasaidia wengi kupata kifaa bora kwa matumizi hasa ya habari na mawasiliano. Ni ipi bora hasa upande wa kamera?.
  20. LOTH HEMA

    Asili ya Mikocheni

    Maeneo mengi yana asili yake.Mikocheni ni eneo maarufu Dar.Je neno MIKOCHENI asili yake ni miti aina ya MIKOCHE(naenda Mikocheni)au ni jina la MICHAEL CHAIN ?(Maiko Cheni),tufahamu.
Back
Top Bottom