Sikukuu kama hizi ni kula na kunywa

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
13,268
17,993
Miaka ya nyuma sikukuu kama hii jamii nyingi zilijumuika pamoja kula na kunywa bila kujali nani ana hela au chakula nyumbani kwake,tofauti na sasa kila familia inakula kivyake walichoandaa.Kupata mualiko wa kwenda kugonga menyu kwa ndugu,jamaa au rafiki ni shughuli pevu
 
Screenshot_20201220-061220.png
 
Siku hizi vyuma vimekaza kila mtu akomae kivyake hapa stori kula kwenu
 
Back
Top Bottom