LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 15,776
- 23,041
Wakuu mpaka muda huu kipindi cha shilawadu hakijaanza kuruka hewani.Badala yake kuna kipindi cha MUSIC MIX na muda unazidi kuyoyoma.Kuna tatizo gani? Tujuzane tufahamu ni nini kimesababisha kipindi kisiwepo hewani wiki hii.Au ndiyo mwisho wake ilikuwa wiki iliyopita?