Asili ya Mikocheni

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,776
23,041
Maeneo mengi yana asili yake.Mikocheni ni eneo maarufu Dar.Je neno MIKOCHENI asili yake ni miti aina ya MIKOCHE(naenda Mikocheni)au ni jina la MICHAEL CHAIN ?(Maiko Cheni),tufahamu.
 
Wakikupatia waje watusaidie na KIJITONYAMA & SEGEREA.
 
Back
Top Bottom