LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 17,114
- 25,108
Mwishoni mwa miaka ya 90 nilimsikia mchungaji mmoja akisema kamwe hatavaa kola kama wachungaji wenzake hata kama atakuwa katika matukio yanayowakutanisha wachungaji watupu katika mikutano yao.
Alichukia kuvaa kola kwa sababu kwa mtazamo wake aliona kola wakati mwingine huweza kutumiwa na wahalifu kama wauza madawa ya kulevya wanajifichia humo ili waonekane ni wachungaji safi waaminiwe na wasikaguliwe wanapopita mipakani na viwanja vya ndege.
Kumbe wahalifu wana mbinu nyingi za kukwepa kukamatwa na mikono ya dola wanapotaka kufanya uharamia wao