JPM yuko live TBC 1 ziarani Mtwara.

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,827
23,110
Rais Magufuli yupo live ziarani mtwara na amekazia dhana ya utumbuaji majipu.Amesema kwamba anayepinga utumbuaji majipu naye ni jipu.
 
JPM:Asiyefanya kazi na asile.Asiyefanya kazi na afe.
 
Ukikimbilia Msumbiji yatakayokupata ni juu yako- JPM
 
Akimaliza hapo naona atarudi ikulu maana hewa aliyochafua inatosha
 
Mcha Mungu katika ubora wake. Sijui huyu malaika Mkuu Mungu wake ni yupi hata aweze kutoa kauli kama hizi zilizojaa ushetani shetani.

JPM:Asiyefanya kazi na asile.Asiyefanya kazi na afe.
 
Mbona walisema TBC haina pesa za kuonesha bunge live hizi za ziara za rais wanapata wapi pesa?
 
Jamani Ule Muda Alitoa Rais Kuhusu Waziri Wa Maji Vp Bado
Maana Alisema Maji Yasipotoka Waziri Asimlaumu
 
Back
Top Bottom