Habari zenu wakuu.Ninayo heshima kwenu kupata ushauri mzuri wa kufahamu tofauti na ubora wa hizi simu.
Ushauri wenu utasaidia wengi kupata kifaa bora kwa matumizi hasa ya habari na mawasiliano.
Ni ipi bora hasa upande wa kamera?.
Teh yani sbb unakalg2 basi nyingine hazitii mguuHiyo cm haitii mguu hata kwa lg2 ambayo imetoka kitambo
Vibaya hivo kumbuka binadamu tunatofautiana mambo mengi usiwaite wenzio nyumbuMchina amewashika wabongo kweli kweli, anacheza na housing ya simu tu. Mpaka mje mbumburuke mshaliwa sana, tecno na yumbu wake lol!
Nimeiona vodashop haina tofaut sana na j8 tofaut ni camera ya mbele ambayo C9 ni13MP na j8 ni5MP...NA Pia C9 ina Iris scanner j8 hainaC9 itakuwa bora