LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,357
- 27,174
Nape yupo hewani kwenye kipindi cha dak45 cha ITV. Swali la kwanza kaulizwa kuhusu ile kauli yake
ya kupinga utaratibu uliotumiwa na makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya.
==========
Habari Zaidi
Wadau waziri nape yupo hapa anahojiwa na sam mahela itv.
Ila naona amempinga wazi wazi mkuu wa mkoa na mbinu yake ya kupambana na madawa ya kulevya, amesema unawezaje kumtaarifu mtu kuwa unataka kumkamata? Amesema kuwa mbinu iliyotumika ndio imevuruga vita yenyewe. Amesema huwezi kwenda kuwinda halafu unapiga risasi juu, wanyama watakimbia.
Pia amesema Hii idea ya kupambana na dawa za kulevya aliianzisha yeye na alikuwa nayo na alikuwa anapanga kuipeleka bungeni. Pia idea ya shisha alikuwa nayo yeye kuizuia. .
Ni hayo tu wadau
Nape amenifurahisha sana.
Kwa kweli Makonda Alikurupuka sana. Yaani nazidi kuamini haya yanayosemwa kumhusu
Alamsiki
Tazama Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Mhe. Nape Nnauye alivyozungumzia utaratibu unaotumika kukamata wauzaji na watumiaji dawa za kulevya, na kufafanua kauli ambayo aliitoa na kutafsirwa tofauti ana fafanua hapa.