Search results

  1. Maalim Jumar

    Matukio ya nyota zetu.

    Mwisho wa mwaka 2021. [emoji290] Mtabiri: Maalim Abalhasan Jumar. Facebook: Mtabiri wa nyota na tiba. Youtube: MAALIM ABALHASAN Hotline: +255 713 351 781. Whatsapp pia. Email: maalimjumar@gmail.com MATUKIO YA NYOTA ZETU. LEO 23.11.2021 MPAKA 20..12.2021. Nawatakieni kheri ya kuuaga...
  2. Maalim Jumar

    Matukio yetu kupitia nyota zetu 12.

    Habari zenu. Mtabiri: Maalim Abalhasan Jumar. Facebook: Mtabiri wa nyota na tiba. Youtube: MAALIM ABALHASAN Hotline: +255 713 351 781. Whatsapp pia. Email: maalimjumar@gmail.com MATUKIO YA NYOTA ZETU. LEO 25.09.2021 MPAKA 20.10.2021. ====☆☆☆☆==== KONDOO. (21 Machi - 20 Aprili)...
  3. Maalim Jumar

    Matukio ya nyota yako.

    Mtabiri: Maalim Abalhasan Jumar. Facebook: Mtabiri wa nyota na tiba. Youtube: MAALIM ABALHASAN Hotline: +255 713 351 781. Whatsapp pia. Email: maalimjumar@gmail.com MATUKIO YA NYOTA ZETU. LEO 23.08.2021 MPAKA 20..09.2021. ====☆☆☆☆==== KONDOO. (21 Machi - 20 Aprili). Kipindi hiki huzuni...
  4. Maalim Jumar

    Nyie endeleeni kutukana tu!

    habari JF. Haya maneno aina hii naona ni kutusiana ... 1- siku za mbeleni=siku sijazo. 2-............... 3-............... Tuendelee!
  5. Maalim Jumar

    Ni kizungu au kiswahil?

    Salaam JF! Haya maneno nimekua nikisikia mara kwa mara yakifikisha ujumbe. Je ni sahihi? 1-Anajitia (huyu kaka anajitia haelewi). 2-Anajifanya (huyu msimamizi anajifanya haoni). 3-................. 4-.................. Hua yanishangaza sana yanavyotumiwa. Umewahi kusikia sentensi...
  6. Maalim Jumar

    Msaaada wa kutumia simu yangu!

    Salaam JF! Nmepewa simu ina manual ya France....aina ya Sumsung model S 5830 ina GPS na 3G naweka line inaniambia nitapiga simu za dharura tu. Sijui naifunguaje?
  7. Maalim Jumar

    Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

    Hi JF!. Nimelichunguza mda mrefu...hatimae nimegundua hili: kwa kua njia ya upatikanaji ni rahisi ya watoto ndio maana wamejaa mitaani. -unae mke nyumbani lakini unae mwingine mtaa mwingine achilia mbali unaefanya kazi nae. -mkeo akiwa mja mzito haupo karibu nae ...kumbe unae anaekupunguzia...
  8. Maalim Jumar

    Kumbe ukiwaona wakubwa wanakusaidia TRA .

    waheshimiwa Salaam. Nilifika TRA kujiandikisha ili nipewe TIN kwa kupata Driving Licence mpya...nikaambiwa ni bure na ndani ya siku 7 naipata. Lakini tangu Mwezi wa sita nilikua nasumbuliwa ''njoo baada ya wiki...mara kajiandikishe manzese...na maneno mengine kibao'' Leo nikawaondolea...
  9. Maalim Jumar

    Haya matamshi ni kusudi zao?

    Habari zenu? Nmekutana na baadhi ya watu wakitamka haya maneno... 1-Msa=Musa. 2- Mk*ndu=Mwekundu. 3- Mwananke= Mwanamke. 4- Leli=Reli. 5- Reri= Reli. 6-................... 7-.................... Endeleza!
  10. Maalim Jumar

    Mpenzi unaempenda anapokusumbua unafanyaje?

    Amani iwe kwenu GT! Kweli mambo haya yana wenyewe mie yamenishinda! Naona nifikiri mambo mengine! Mnasemaje?
  11. Maalim Jumar

    Ndugu yangu umasikini anauaga!

    Habari zenu GT. Nmetumiwa sasa hivi taarifa na ndugu yangu amempata mchumba kupitia hii mitandao kua amesoma profile yake na amegundua ni mtu makini. Sasa kilichotokea huyo mchumba ni wakike amemwambia asitoe siri maana atamtumia $ million kadhaa katika acount yake...halafu achukue kidogo...
  12. Maalim Jumar

    Hizi herufi kwenye thread ni virus?..

    Salaam JF! Kila niki Quote thread au niki edit thread kuna herufi kama hizi <br /> Zinatokea <br />. Nimechunguza hata kwa wachangiaji wengine zimekuepo kwenye uzi zao Ndio virus au nani anazituma huko?
  13. Maalim Jumar

    Huyu mchumba wangu simuelewi

    Habari JF! nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu. Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi. Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!. Lakin hunibembeleza na kuntafuta...
  14. Maalim Jumar

    Pande zote mbili ni dhaifu...!

    Salaam JF! Hili nimelifanyia utafiti wakutosha. Naww liangalie! Upande wa kina baba ikiwa hajawahi ku do kujua maumvile tafaut tafaut atapooa mke/mpz wa kwanza lazima atatulia kwa kua hakuna tafauti atayoigundua ...atajua ndivyo ilivyo. Iwapo akianza kuonja/kujaribu maumbile tafauti itamfanya...
  15. Maalim Jumar

    Ukiwa muwazi nipo ajili yako!

    Salaam JF! Ninaweka wazi ninayopendezwa nayo. Ninao marafiki wakike/wakiume. Tumeweza kuwezeshana katika mambo mbali mbali ya kila siku...ili kufikia malengo yetu. Naiweka wazi nafasi hii kwa yeyote ani PM.
  16. Maalim Jumar

    Kutokutoa maamuzi yangu...wachumba wanaongezeka!

    Habari kwenu wana JF! Nmeona nilifikishe hili kwenu nipewe majibu! Maana ke/me analalamika hajui afanye nini? Nae anahitaji mwenza. Nawakilisha!
  17. Maalim Jumar

    Mwenye manual ya Rav4 ya kizungu...!

    Hali zenu JF! Yaani nmekua napata usumbufu kweli. Huyu fundi muda mwingi ananidanganya sana. Kitabu nlipewa cha lugha ya Japanes....nakua nashindwa kuelewa vizuri. Naomba alie nacho nikakipigishe photocopy au aniuzie kama akiweza!. Kila mahala kichwa kinauma, yaan......!!!!!!!! Nataabika!
  18. Maalim Jumar

    Tueleweshana siri za Namba!

    Habari GT wa JF! Mimi nimeangalia hii... Chukua namba zinazo fuatana ziwe tatu...mfano 345, kisha uzigeuze ile ya mwisho iwe ya kwanza na kuendelea hivi 543. Kisha utoe(subtract) jawabu utalopata itakua ni 198. Hii itakua kwa namba zozote umuhimu ziwe namba aina tatu zinazo fuatana! Tuendelee!
  19. Maalim Jumar

    kwenu hili je?

    Habari jamani JF! What does this say? a- a bird in the bush. b- a bird in the tree. c- a bird in my bush. d- a bird in the the bush. e- a bush in the tree. Haya wajuzi wa hii lugha....
  20. Maalim Jumar

    JF jikumbusheni matukio yenu mwaka huu wa 2011!!.

    Habari zenu Greaters T. SI VIBAYA KWA WALE WANAOAMINI NA WAJUE MAMBO HAYA (KUJIKUMBUSHA)...... MATUKIO YA KILA NYOTA 2011. MTABIRI: MAALIM ABALHASAN JUMAR. 1-Kondoo(Aries) Machi 21-Aprili 20. Mwaka huu ni mzuri hasa kwenye mambo yanayohusu ilmu.Utapata nafasi ya kuongeza ujuzi...
Back
Top Bottom