Kutokutoa maamuzi yangu...wachumba wanaongezeka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutokutoa maamuzi yangu...wachumba wanaongezeka!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Maalim Jumar, Jul 7, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Habari kwenu wana JF!
  Nmeona nilifikishe hili kwenu nipewe majibu!
  Maana ke/me analalamika hajui afanye nini?
  Nae anahitaji mwenza.
  Nawakilisha!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hueleweki....
  Huyo ke/meee ndio nani?!Wanalalamika nini!?!Maamuzi yako kuhusiana na nini!?Nani anehitaji mwenza?!
   
 3. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vipi harooøøøøøøøø sijakuelewa kabisa, mara yanga, mara ke/me mara mwenza mara sijui nini,,, mh sijakusoma, au uko tungi?
   
 4. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kichwa cha uzi kinaeleweka labda ww hujelewa. Kuna Watu wawili 1 ni mwanume na 2 mwanamke kwa kua ameamua kutafuta jibu la hilo tatizo ndio nimeweka humu JF ili wataoelewa wasaidie majibu .Wanasema kwa kutotoa maamuzi kwa wale wanaohitaji uchumba ..nao hatoi hayo maamuzi kwa kuchagua mmoja ambae atakua ndie mwenza. Sasa wamezidi kuwapata wachumba wengi ....wanashindwa kutoa uamuzi wa kuchagua mmoja ataefaa.Hapo hujaelewa?
   
 5. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yaani hapa nmecheka hadi mbavu zauma!Kuna watu wamesema kutotoa maamuzi ya kuchagua mwenza ambae ateishi nae...sasa Wamekua wachumba wanaongezeka. Ndio wanahitaji wajue wafanyeje ili atoe maamuzi yake!Hapo ntakua sipo tungi tena ...ntakua masaki.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,782
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  mnh kweli kiswahili lugha yetu
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Bado hausomeki maalim unasaga mirungi ya Haidaru au kenya(Kangeta,Giza bomu) manake naona uko full handas na kwa mbali naona chai ya rangi,Big G,karanga na Coke, na yule pembeni sio Hilda mirungi aiseee!
   
 8. P

  Pawaga JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  mmmmh!,nalo neno eti.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  waambie waendelee hivyo hivyo,wasitoe maamuzi afu waje kuandiaka research paper! interest yangu ni possible maximum # ya wachumba
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Maalim Bana haya maana mie dah ngoja niache. Habari yako lakini
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Atafute tu...
   
 12. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Fuullu kung'etua menu miiieee!Umenchekesha we acha tu!Sasa watakua hivyo hadi lini?
   
 13. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mimi mzima DA!Naona pale huonekani tena!.
   
 14. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Acha zako!Afrika mashariki niambie wapi wakizungumza vizuri?
   
 15. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ntawaambia!Will it be possible wazidi kuwahisabu wachumba bila kutoa maamuzi ya kumchagua his/her right choice!
   
 16. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Amechoka hadi sasa!
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  We si ndio umenifungia kioo....
   
 18. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ungeniwashia full!.Ntawaalikeni kuftari pia.
   
 19. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,848
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jamani kwangu bado naona giza tu, yaani kiswahili kilichotumika ni kama kichina vile.
   
 20. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,428
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wapi kichina hujaelewa?
   
Loading...