Ni kizungu au kiswahil?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Salaam JF!
Haya maneno nimekua nikisikia mara kwa mara yakifikisha ujumbe.
Je ni sahihi?

1-Anajitia (huyu kaka anajitia haelewi).

2-Anajifanya (huyu msimamizi anajifanya haoni).
3-.................
4-..................

Hua yanishangaza sana yanavyotumiwa.
Umewahi kusikia sentensi zingine kama hizo?
Nawakilsha kwenu !
 
Ni kizungu au kiswahili?
Nilikua namaanisha huenda wameyatafsiri hayo maneno kutoka kizungu kuyaleta katika swahili.

mbona tunachanganywa sana.

Mf: i'm eight years old= nina miaka nane. Kwa kiswahili si sahihi....ilitakiwa aseme nina miaka (mi)nane.
 
salaam jf!
Haya maneno nimekua nikisikia mara kwa mara yakifikisha ujumbe.
Je ni sahihi?

1-anajitia (huyu kaka anajitia haelewi).

2-anajifanya (huyu msimamizi anajifanya haoni).
3-.................
4-..................

Hua yanishangaza sana yanavyotumiwa.
Umewahi kusikia sentensi zingine kama hizo?
Nawakilsha kwenu !

nilisikia hizo hizo kama za kwako
 
Kujiita maana yake jina husika si lile ulilopewa na wazazi wako. Ni jina unalojipa mwenye kwa sababu ya umaarufu, au shughuli yako au tuseme mapenzi yako. Haya majina yenye sifa ya "kujiita" unayakuta sana kati ya wanamuziki,macelebrities wa filamu na kwenye social networks ambako watu hawatumii majina yao halisi bali wanajipa majina ya bandia, wanajiita.... Kwa hiyo"kujiita" si tafsiri kutoka Kiingereza vinginevo unamaanisha kitu kingine.
Vivo hivo "kujifanya" ni kiswahili kamili kabisa. Kujifanya maana niku-act, kufanya usanii, kuvaa utu au nafsi isiyo yako. Maana yake unajionesha kile usichokuwa. Kwa hiyo "unajifanya." Yaani katika uhalisia wako wewe huko hivo, bali unataka kutuaminisha kwamba uko hivo. Unajifanya.
 
Je kutiwa?

Je kufanywa?

Nayo ni sawa na kuitwa?
 
Back
Top Bottom