Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,259
Reaction score
118
Hi JF!.
Nimelichunguza mda mrefu...hatimae nimegundua hili: kwa kua njia ya upatikanaji ni rahisi ya watoto ndio maana wamejaa mitaani.

-unae mke nyumbani lakini unae mwingine mtaa mwingine achilia mbali unaefanya kazi nae.
-mkeo akiwa mja mzito haupo karibu nae ...kumbe unae anaekupunguzia uzito.
-ukiwa unamiliki usafir utaekua ukimpa lift kusogeza kazin huyo nae atakusaidia kupunguza uzito...siku ya siku atakupatia zawadi ya kabebii.
-......................
-......................

Endeleza na wewe:
Tuchangie mtaona ndio sababu ya hawa damu zetu tunazozikana huku zinataabika mitaani.
Nawasilisha!.
 
Hebu geukia na upande wa kina dada pia!
 
.....jamani!
Mimi nimeanzia hapo na nyie mwaweza elezea hapa ili tuone hizo damu mitaan ......
Sababu zake ni wepesi waupatikanaji wa hao watoto tu!.
 
Back
Top Bottom