Mwenye manual ya Rav4 ya kizungu...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye manual ya Rav4 ya kizungu...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maalim Jumar, Jun 15, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hali zenu JF!
  Yaani nmekua napata usumbufu kweli.
  Huyu fundi muda mwingi ananidanganya sana.
  Kitabu nlipewa cha lugha ya Japanes....nakua nashindwa kuelewa vizuri.
  Naomba alie nacho nikakipigishe photocopy au aniuzie kama akiweza!.
  Kila mahala kichwa kinauma...yaan......!!!!!!!!
  Nataabika!
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  unataabika na nini? tatizo lako nini kwemye hiyo manual Rav4?
   
 3. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nahitaji kujua gari hiyo vzuri.
  Maana muda mwingi nakua tegemezi...hadi nimuulize fundi.
  Vitu vingine natumia uzoefu wa udereva.
  So! Nkiwa na manual ya kizungu ntajua ufafanuzi zaidi.
   
 4. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Search kwenye Ebay "Manual for Toyota Rav 4" utapata.
   
Loading...