Pande zote mbili ni dhaifu...!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Salaam JF!
Hili nimelifanyia utafiti wakutosha. Naww liangalie!
Upande wa kina baba ikiwa hajawahi ku do kujua maumvile tafaut tafaut atapooa mke/mpz wa kwanza lazima atatulia kwa kua hakuna tafauti atayoigundua ...atajua ndivyo ilivyo.
Iwapo akianza kuonja/kujaribu maumbile tafauti itamfanya azidi kuchagua zaidi. Ndio kitu kinachopelekea akina baba/kaka kuzidi kuacha wachumba/wake zao njia panda kwa kuanzisha mahusiano zaid. Pia akina baba hua hawasemi ukweli tatizo lilipo...utawasikia wakisema kwa kutafuta visingizio kua wake/wachumba zao si waaminifu.
Kwa akina dada wao tamaa za kuishi maisha mazuri au kupewa mali ndio kitu kikubwa hua kinawafanya wawakimbie waume/wachumba zao huku wakiwasingizia kua si waaminifu...ukweli hua hawasemi kama ni mali au ahadi walizopewa hazijatekelezwa.
Ukiangalia wakati wa miaka mingi ya nyuma hizi tabia hazikuepo ndoa na mahusiano yalidumu...japo migogoro hua haikosi ndani ya nyumba.
Tunaweza kumaliza haya matatizo iwapo nafsi zetu tutazituliza . Hata wale tunaowaamib wamejengeka katika imaan ...nao sifuri. Wamekua wakiingia katika mlipuko huo huo kutokana na jamii kubwa inao wazunguuka kuharibika.
Ukifanikiwa kutuliza nafsi yako utaishi salama bila matatizo na mpendwa wako ukiweza.
Endelea na wewe kuchangia!
Nawakilisha!.
 
Kwahiyo wababa wa do sana kabla hawajaoa ili wakioa watulie.
Ngoja nifikirie solution kwa wadada.
 
mali ni muhmu lkn sio hakikisho kuwa mke atatulia, pili mwanaume kicheche ni kicheche tu hata iweje
 
Tabia ndio chanzo, si pesa wala variety. Ukijua upo duniani unafanya nini utajua kuwa upo duniani na utapata nini na huwezi kuwa na vyote daima na mwisho wa kutaka yote ni kukosa yote.
 
Back
Top Bottom