Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Salaam JF!
Kila niki Quote thread au niki edit thread kuna herufi kama hizi <br />
Zinatokea <br />.
Nimechunguza hata kwa wachangiaji wengine zimekuepo kwenye uzi zao
Ndio virus au nani anazituma huko?