Ndugu yangu umasikini anauaga!

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Habari zenu GT.
Nmetumiwa sasa hivi taarifa na ndugu yangu amempata mchumba kupitia hii mitandao kua amesoma profile yake na amegundua ni mtu makini. Sasa kilichotokea huyo mchumba ni wakike amemwambia asitoe siri maana atamtumia $ million kadhaa katika acount yake...halafu achukue kidogo amtumie kwa ajili ya safari ili amfuate alipo!
Je inawezekana au ndugu yangu wanataka kumwibia?
Maana mchumba mwenyewe yuko Senegal!
Namuwakilisha!

aaaah mkuu fraudesters hao aachane nao kabisa................wengi wapo nigeria,senegal,south A ghana na siera leone,ni hackers wa acounts za watu hao

Mmmh mwambıe açhane na hyo ınşhu au kama kwel anataka kujua kama huyo dada anataka kumtumia kwelı mwambıe akafungue ac katka benki tofautı alafu amtumıe hyo ac then aone kama nı kwelı anampenda na atamtumıa huo mkwanja.

awe makini afungue acount ya 5500 aone kama watamwekea ama vipi... wasipoweka afunge account

akituma hiyo account # jamaa wana uwezo wa kuchota hela huko walipo. muambie ndugu yako aache kupenda dezo jamani, sasa uchumba na kutumiana hela vinahusianaje?isee, nisije nikasema neno baya.

akituma hiyo account # jamaa wana uwezo wa kuchota hela huko walipo. Muambie ndugu yako aache kupenda dezo jamani, sasa uchumba na kutumiana hela vinahusianaje?isee, nisije nikasema neno baya.
mwacheni aibiwe kidogo tuu atatusimulia na sisi!

Whaaat? SENEGAL? Hahahaha! Hata sitaki kusema mengi ila huyo ndugu yako ameliwa

mwambie amtumie kwa njia ya western union hiyo haina uhusiano na account,akitumiwa atapewa password ataenda kuchukulia posta kama sio tapel.

Inaonekana ndugu yako si mtumiaji internet wa mara kwa mara, manake ukiwa unatumia mara kwa mara probability ya kukutana na visa hivyo ni kubwa yaani hata kwa mwaka mara mbili tatu hivi. Ama akitaka aamini mwambie akopy na kupaste paragraph ama sehemu ya paragraph hiyo tu katika google afu a-search; atashangazwa na utitiri wa frauds hizo. Ila kama ana muda wa kupoteza mwambie acheze nao mchezo wa paka na panya wa kutafutana kwa kujibu emails zao na kupretend amefall ktk love na huyo binti, mwisho wa siku hao jamaa hukimbia wakiona unawapotezea muda tu

Habari zenu GT.

Nmetumiwa sasa hivi taarifa na ndugu yangu amempata mchumba kupitia hii mitandao kua amesoma profile yake na amegundua ni mtu makini. Sasa kilichotokea huyo mchumba ni wakike amemwambia asitoe siri maana atamtumia $ million kadhaa katika acount yake...halafu achukue kidogo amtumie kwa ajili ya safari ili amfuate alipo!

Je inawezekana au ndugu yangu wanataka kumwibia?

Maana mchumba mwenyewe yuko Senegal!

Namuwakilisha!

wale wezi ndugu,kama sikosei huyo mchumba ake anaitwa Jenipher Desmond,me kidogo niingie mkenge bro angu akanistua,

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom