Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Mwisho wa mwaka 2021.
[emoji290]
Mtabiri: Maalim Abalhasan Jumar.
Facebook: Mtabiri wa nyota na tiba.
Youtube: MAALIM ABALHASAN
Hotline:
+255 713 351 781.
Whatsapp pia.
Email: maalimjumar@gmail.com
MATUKIO YA NYOTA ZETU.
LEO 23.11.2021 MPAKA 20..12.2021.
Nawatakieni kheri ya kuuaga mwaka huu wa 2021 kuelekea mwaka mpya wa 2022.
====☆☆☆☆====
[emoji749]KONDOO. (21 Machi - 20 Aprili).
Utapata zawadi.
Utapata misaada hasa ikiwa huna MIKOSI.
Tunapoelekea ni kujua matukio ya mwaka ujao.
Utasingiziwa jambo zito ambalo litapoteza mali.
[emoji750]NG'OMBE. ( 21 Aprili - 20 Mei).
Utaugua mara kwa mara.
Utapoteza vitu vyako.
Utaibiwa pia.
Utasingiziwa mambo mabaya.
Uvumilivu wa hitajika.
Tunaelekea kwenye kujiandaa kujua matukio ya mwaka ujao 2022.
Vitu vingi hutovifanikiwa.
Utatuzi wa hitajika haraka.
[emoji751]MAPACHA. ( 21 Mei - 21 Juni).
Unayo nafasi ya kuamua kuhusu mchumba wa sasa ambae ni mkweli asilimia nyingi.
Migogoro ambayo itaendelea kwa waliooa au kuolewa au katika uchumba nafasi ni kuanzisha mapya.
Tunaelekea kujua matukio mapya ya mwaka ujao, tukijaaliwa. Waliokukimbia utawaona. Wanaokudai walipwe japo kidogo kidogo.
[emoji752]KAA. ( 22 Juni - 22 Julai).
Utakua mwenye wasi wasi mwingi kwa kila jambo lako. Utapoteza vitu vingi sasa.
Migogoro itaongezeka pia.
Wanaokudai walipwe pia.
Tunaelekea kwenye kujua matukio ya mwaka ujao, tukijaaliwa.
Kapime afya yako pia.
[emoji753]SIMBA. ( 23 Julai - 22 Agosti).
Utasikizwa haja zako na utatekelezewa hasa ukiwa huna MIKOSI.
Tunaelekea kwenye kujua matukio ya mwaka ujao 2021.Tukijaaliwa.
Mambo yako yafiche ili usifanyiwe hasadi. Utapokea taarifa za faraja zaidi.
[emoji754]MASHUKE. ( 23 Agosti - 22 Sept).
Uwe makini kuna migogoro itakufikisha kwenye mabaraza.
Utafikir malengo katika maisha. Utaheshimika sasa ikiwa umetatua mikosi. Tunaelekea kwenye kujua matukio ya mwaka ujao, tukijaaliwa. Kuwa makini katika mipango yako ijayo ili uitekeleze vzuri.
[emoji755]MIZANI. (23 Sept - 23 Okt ).
Utapata misaada.
Utapokea pesa au vitu muhimu.
Tunaelekea kujua mambo yetu ya mwaka ujao, tukijaaliwa. Pesa utazopata zihifadhi kwanza zikusaidie.
Matatizo ulio nayo yatatuliwe haraka.
[emoji756]NGE. ( 24 Okt - 22 Nov).
Unyonge utaongezeka katika mambo yako.
Utapoteza vitu vyako.
Utaibiwa pia.
Utaugua. Hofu zitaongezeka.
Tunaelekea kujua matukio ya mwaka ujao, tukijaaliwa.
Mambo mengi kwako hayatotimia.
Tafuta utatuzi wa mambo yako ili uwe Safi katika maisha yako.
MIKOSI ikuepuke ndugu.
[emoji757]MSHALE. (23 Nov - 21 Dis).
Ujipange kwa mambo mapya.
Na tunapoelekea ni matukio yako ya mwaka ujao.
Vitu vingi vitakuharibikia ikiwa hutokua makini. Migogoro iepuke zaidi.
[emoji758]MBUZI. ( 22 Dis - 20 Jan).
Utafanikiwa mambo yako.
Tukiwa tunaelekea mambo ya mwaka ujao, kuwa makini na kipato chako.
Jipange kwa mali au vitu au cheo kwa sasa.
Usiharibikiwe zaidi.
[emoji759]NDOO. ( 21 Jan - 19 Feb).
Wadaidie ndugu na wataohitaji misaada.
Kuwa makini na mkataba.
Uwe mwangalifu kwenye mambo yako hasa mambo utayopokea.
Tunapoelekea ni matukio ya mwaka ujao.
Usipokua makin utapoteza bahati nyingi kama ilivyo kua mwaka huu 2021.
[emoji760]SAMAKI. (20 Feb - 20 Machi).
Wakati wa kutekeleza mahitaji yako.
Utapata vitu vyako.
Kagua mali zako sasa.
Tunapoelekea ni kujua matukio yako ya mwaka ujao, tukijaaliwa. Vitu vyako vitaharibiwa zaid.
Utaugua pia.
÷÷÷÷☆☆☆☆÷÷÷÷
KARIBUNI WOTE.
♡Ahsanteni wote.