Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Salaam JF!
Nmepewa simu ina manual ya France....aina ya Sumsung model S 5830 ina GPS na 3G naweka line inaniambia nitapiga simu za dharura tu.
Sijui naifunguaje?