Nyie endeleeni kutukana tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyie endeleeni kutukana tu!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Maalim Jumar, Dec 26, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  habari JF.
  Haya maneno aina hii naona ni kutusiana ...
  1- siku za mbeleni=siku sijazo.
  2-...............
  3-...............

  Tuendelee!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Maalimu labda sijaelewa.... Kama hutajili naomba mfano wa pili...lol
   
 3. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni matumizi ya haya maneno.
  2- jamaa wa siasa akiomba kura: akina mama hapo MBELE mtanipa?
   
 4. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  3-siku za USONI= siku za karibuni(zijazo karibu).
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Sasa sijui tusi liko wapi hapo?any way labda sijaelewa unamaanisha nini?
   
 6. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Member! wataalam wa lugha unapotumia kimakosa ni sawa na kutusi.

  Kama huon ni marusi ni sawa.
  Maana kuna jamaa huitana ''Kichaa wangu''
  Au hupeana sifa kwa kusema: k.u.m.a.m.a.m.ake = hongera.
  Kwako si matusi hayo?
   
 7. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukiona umeula, jua ushaliwa!
   
 8. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Niwape chungwa mkatiane he he he!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huko nyuma hatukua hivyo
   
 10. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Viongozi wetu wanatunyonya khaaa!
   
 11. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kazaneni kwenye mikarafuu
   
 12. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Lugha zote huwa zinaeleweka kulingana na muktadha (context) ya mzungumzaji au jambo linalozungumzwa. Bila context maneno mengi yana maana zaidi ya moja kwa hiyo kulichomoa neno moja si rahisi watu kuelewa. Mi sioni shida ya matumizi ya maneno uliyoyataja hapo juu kwani yanatumiwa kulingana na context husika watu wanaelewa kile kinachotakiwa kueleweka. Hakuna utata. Ila wakati mwingine mtu anaweza kuuweka utata kwa makusudi ili kuchekesha wasikilizaji wake kwa kuonesha kwamba usemi fulani una maana nyingine/ ya pili zaidi ya hiyo wanayoelekea wengi kuielewa. Hapa unakuwa ni mchezo wa maneno au lugha.
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sasa nimekupata Maalim....lol.... Ina maana haipendezi kusema,  Walio chini wanakandamizwa na wakubwa? (au nimekosea?)
   
 14. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sasa nimeeleweka!
  Mimina maji nyuma yake.
   
 15. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ukitaka kula lazima uliwe.
   
 16. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  umeona eee!
  Sasa haya maneno naona kama twatukana sana!
  Hakuna tungo zingine.
  Labda ikiwa mithali...lakin tungo za kawaida.....mh!
  Mf: mkunaji na mkunwa.....hii ni mithali.

   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ungesema hivi: Walio kwenye ulitima wamenyimwa fursa na wakubwa
   
 18. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Na akina baba huko nyuma...mtanipaaaa????
   
 19. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mnapata ujauzito kwa sababu ya viherehere vyenu! Anyway, konda nishushie kituo cha mbele, pale Chambawima!
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu amewaharibu.
   
Loading...