Matukio ya nyota yako.

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Mtabiri: Maalim Abalhasan Jumar.

Facebook: Mtabiri wa nyota na tiba.

Youtube: MAALIM ABALHASAN

Hotline:
+255 713 351 781.

Whatsapp pia.

Email: maalimjumar@gmail.com

MATUKIO YA NYOTA ZETU.

LEO 23.08.2021 MPAKA 20..09.2021.

====☆☆☆☆====

KONDOO. (21 Machi - 20 Aprili).
Kipindi hiki huzuni zitaongezeka.
Mipango itavurugwa zaidi.
Hakuna jambo litakalo fanikiwa sasa.
Ahadi hazitotia pia.
Utafanyiwa fitna zaidi.
Kagua mwili wako kutokana na sumu zilio jaa, zitolewe kitaalam.
Ni wakati mambo yatakua magumu zaidi.
MIKOSI iliopo itatuliwe kwa wajuzi wa ukweli. Namba ya bahati ni 30.

NG'OMBE. ( 21 Aprili - 20 Mei)
Hiki kipindi utasikilizwa haja zako hasa ikiwa huna MIKOSI.
Unayo bahati ya kufuatilia mipango ya kuongeza ujuzi na safari hasa za mbali.
Ni. Wakati utatishika au kutisha wenzio kwa vitu vya ajabu ajabu ( mauza uza).
Jitahidi kufanya mazuri kwa wote bila ubaguzi, japo kwa nafasi ulio nayo sasa.
Namba bahati ni 1.

MAPACHA. ( 21 Mei - 21 Juni).
Hiki ni kipindi cha kuinuka juu kwa hali zote.
Iwe ni kupata cheo kazini kwako, katika shughuli zako na kadhalika.
Utaandamwa kwa kesi ( mashauri mbali mbali).
Ni wakati wa kujiandaa kwa mipango ya baadae ambayo itakuinua ki- maisha.
Vitu vitapata muelekeo ikiwa huna MIKOSI.
Namba ya bahati ni 65.

KAA. ( 22 Juni - 22 Julai).
Hiki ni kipindi utafurahi ka zaidi.
Utapokea mialiko yenye faida kwako.
Marafiki wataongezeka.
Kunufaika nao ikiwa huna MIKOSI.
Utapata misaada tafauti tafauti.
Kupata muelekeo wa kunufaika baadae ni ww kutokua mwenye MIKOSI.
Namba ya bahati ni 66.

SIMBA. ( 23 Julai - 22 Agosti).
Hiki ni kipindi cha huzuni nyingi kwako.
Utaugua.
Utaibiwa.
Utagombana mara kwa mara.
Fikra zitakua drama hazitokua salama kwako.
Wasi wasi utaongezeka.
Wanao kudai walipwe japo kidogo kidogo ili kuepusha migogoro kuendelea.
Namba ya bahati ni 74.

MASHUKE. ( 23 Agosti - 22 Sept).
Hiki ni kipindi cha kuangalia mambo yanayohusu afya ya mwili wako kwa ujumla.
Ni muda mzuri wa kutatua shida zako.
Ni wakati muwafaka wa kutafuta utatuzi ili uepukane na matatizo ulio nayo kwa ujumla.
Ni muda unaofaa kutoa uamuzi wa kuoa /kuolewa.
Namba ya bahati ni 41.

MIZANI. (23 Sept - 23 Okt )
Ni kipindi cha kutoa misaada kadri ya uwezo wako, usifanye ujanja katika kutoa au kusaidia wanahitaji.
Utazozana na wapendwa wako.
Ni wakati muwafaka kuandika wasiya.
Yapo mambo mengi ambayo yatayobadilika kwako.
Unayo nafasi ya kununua vitu utakavyo.
Namba ya bahati ni 42.

NGE. ( 24 Okt - 22 Nov).
Hiki ni kipindi unachoweza kusaidia ndugu na jamaa kwa kiasi ya uwezo uliopo.
Waliooa msiwasahau wakwe zenu katika kujua hali zao na kuwasaidia itavyowezekana.
Safari zitaongezeka na nyingi hazina faida.
Tatua MIKOSI iliopo kwako ili kufikia matumaini mazuri.
Vitu vingi vitatoka (potea). Vitu vingine kutotimia.
Namba ya bahati ni 25.

MSHALE. (23 Nov - 21 Dis).
Hiki ni kipindi cha kujua hitimisho ya mambo yako. Ni wakati wa kufuatilia akiba zako zilipo.
Chunguza vitu vyako hapo ulipo.
Uwe mwangalifu usipate kuzuiliwa.
Namba ya bahati ni 44.

MBUZI. ( 22 Dis - 20 Jan).
Hiki ni kipindi cha kutoa zawadi mbali mbali.
Pia utapata ujumbe mbali mbali.
Wafuatilie watoto na mambo yanayo husika na ujauzito kwenu wote mlio kwenye mahusiano.
Epuka starehe. Namba ya bahati ni 45.

NDOO. ( 21 Jan - 19 Feb).
Hiki ni kipindi uwe mvumilivu wa kila jambo.
Utaibiwa.
Utaugua mara kwa mara.
Utasingiziwa (kesi) jambo zito. Utakimbiwa pia. Utapoteza mali zako.
Namba ya bahati ni 55.

SAMAKI. (20 Feb - 20 Machi).
Hiki ni kipindi cha kubadili ka mambo yako.
Umakini na kutatuliwa shida zako ni wakati huu.
Mafanikio unayotafuta yanahitaji utatuzi wa MIKOSI ulio nayo.
Ikiwa Umeoa au kuolewa migogoro utaongezeka.
Utakimbiwa pia.
Wanao kudai walipwe japo kidogo kidogo.
Ni wakati wa kuwapoteza wapendwa( maradhi au kifo).
Namba ya bahati ni 11.

÷÷÷÷☆☆☆☆÷÷÷÷
N.B
Namba za bahati zinatumika kwa kuomba pesa au kutoa Pesa. Usio yajua uliza wanaojua.

Ikiwa 4+4=8
Ni tafauti na 8+0=8
Au 5+3=8
Au 6+2=8.
Na kadhalika.

KARIBUNI WOTE.

♡Ahsanteni wote.
 
Ukiwa na Roho nyepesi na kusoma haya yaliyoandikwa katika hizi Nyota unaweza ukaona bora Ufe tu au Kujiuliza kwanini umezisoma.
 
Unawezaje kunithibitishia kuwa elimu uliyoiandika hapa ni yakweli..?

Ati mi ni samaki..
Hapo hakuna kuthibitishiwa ndugu yangu.
Uthibitisho utapata mwenyewe.

Hilo ndio ninalojipa matumaini kwa wasomaji wa makala hizo.

Hakuna kulazimisha kuamini... Zaid ya kuamini mwenyewe.

Ahsante ndugu.
 
Mkuu nimezaliwa Tarehe 17-12-1994 Je nyota yangu ni ipi???

Jina Lina Anza na heufi S
 
Hapo hakuna kuthibitishiwa ndugu yangu.
Uthibitisho utapata mwenyewe.

Hilo ndio ninalojipa matumaini kwa wasomaji wa makala hizo.

Hakuna kulazimisha kuamini... Zaid ya kuamini mwenyewe.

Ahsante ndugu.
Hiyo ya mapacha ni yangu..ngoja nitafakari maana nina kesi zaidi ya nne kazini.
 
Wanajimu na wapiga ramli/wasoma number( numerologists) wote ni wachawi. Na wachawi wote ni mabalozi wa ufalme wa Giza. Kwahiyo toa ushetani wako hapa
 
Wanajimu na wapiga ramli/wasoma number( numerologists) wote ni wachawi. Na wachawi wote ni mabalozi wa ufalme wa Giza. Kwahiyo toa ushetani wako hapa
Huo ni ujinga Kuna umuhimu ya hayo mambo, leta kifungu Cha biblia au kuruani kinachopinga, kama hayakuhusu kaa mbali,
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom