Tueleweshana siri za Namba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tueleweshana siri za Namba!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Maalim Jumar, Jun 10, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Habari GT wa JF!
  Mimi nimeangalia hii...
  Chukua namba zinazo fuatana ziwe tatu...mfano 345, kisha uzigeuze ile ya mwisho iwe ya kwanza na kuendelea hivi 543.
  Kisha utoe(subtract) jawabu utalopata itakua ni 198. Hii itakua kwa namba zozote umuhimu ziwe namba aina tatu zinazo fuatana!
  Tuendelee!
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hiyo yako kiboko!
   
 3. b

  braya Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah!kweli we ni gt
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  321-123=198
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  namba tisa ina maajabu mawili

  1) ukichukua tisa na kuizidisha kwa 1.....10, jibu la kuanzia namba moja mpka tano linaanza kugeuka (kuwa kinyume, kama 9x5=45,basi 9x6=54 tano na nne zimebadilishana nafasi) ukianzia sita mpaka 10, hebu angalia hapa chini
  9x1=09
  9x2=18
  9x3=27
  9x4=36
  9x5=45 (kuanzaia hapa namba za jibu zinaanza ku swap kurudi juu)
  9x6=54
  9x7=63
  9x8=72
  9x9=81
  9x10=90

  2) ajabu la pili nikuwa kwa hesabu ya hapo juu,hizo namba za jibu ukizijumlisha jibu lake ni tisa
  9x1=09, 0+9=9
  9x2=18, 1+8=9
  9x3=27, 2+7=9
  9x4=36, 3+6=9
  9x5=45, 4+5=9
  9x6=54, 5+4=9
  9x7=63, 6+3=9
  9x8=72, 7+2=9
  9x9=81, 8+1=9
  9x10=90, 9+0=9
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Ajabu la tatu ni kuwa
  ukizidisha namba 9 kwa 1.....10,jibu ni raisi tu unachukua ziro mpaka tisa kwenda chini,mfano
  9x1=0
  9x2=1
  9x3=2
  9x4=3
  9x5=4
  9x6=5
  9x7=6
  9x8=7
  9x9=8
  9x10=9
  baadaya hapa unaanza na ziro kutoka chini kwenda juu
  9x1=09
  9x2=18
  9x3=27
  9x4=36
  9x5=45
  9x6=54
  9x7=63
  9x8=72
  9x9=81
  9x10=90
   
 7. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namba 3 ni namba ya ajabu sana. Ukiizidisha na namba yeyote hua inajirudia rudia kwenye hizi namba aina tatu (3,6,9).
  Mfano:
  54 zidisha 3= 162, 1+6+2=9.
   
 8. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Vilevile namba yoyote ukiizidisha kwa 11 ni sawa na kuzijumlisha namba husika na jibu ukaliweka katikati ya namba hizo, mfano:
  23x11= 2+3=5, so unaichukua 5 unaiweka kati ya 2 na 3 unapata jibu 253, ni njia ya haraka ya kupata jibu badala ya kupoteza muda kwa kuanza kuzipanga na kuzijumlisha! Sijui nimeeleweka?:A S 114:
   
 9. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2*11=22 hapa unafanyaje?
   
 10. Abraham

  Abraham Senior Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  same as per formula.... 2 kwa kuwa iko yenyewe ni sawa na kuandika 02 hivyo jumla ni 0+2=2, then unaweka jibu katikati na hivyo kuwa 022 ambayo kihesabu kwa kuwa hakuna tofauti ya 022 na 22 basi tunaandika 22.

  Upo hapo?
   
 11. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sipo kabisaaaaa!
  22*11=242.
  Inakuaje?
  Hiyo formula haija-aply.
  LOL!
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa.Lakini wewe ulicho tuambia ni observation yako kuhusu three consecutive numbers.Sasa tupe siri ya namba hizo kama kichwa cha thread yako kinavyo sema.Nikuongoze kidogo.Mara nyingi tumedhani kwamba numbers are only physical items,lakini ukweli ni kwamba they also have a spiritial significance.In fact they are more spritual than physical.For example 3,8,11,33,666,13,21,7 etc.Now why those.
   
 13. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  85x11 is not equal to 8135 !! Njia hiyo uliyoionesha inatumika kwa majibu yenye tarakimu tatu tu. Kwa majibu yenye tarakimu nne, unafanya km alivyoonesha zaratustra hapo juu, lkn kuna tofauti moja ndogo. Labda tufanye kwa mfano. 85x11 is not equal to 8135, kwa njia ya zaratustra, lkn jumlisha tarakimu mbili za kwanza za jibu hilo hilo, yaani , 8+1=9, na weka hilo jibu nafasi ya hizo tarakimu mbili. Kwahiyo, 85x11=935.
   
 14. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  2+2=4 (kumbuka, jibu huwa katikati)
   
 15. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  To square a two-digit number that ends in 5, you need to remember only two things.

  1. The answer begins by multiplying the first digit by the next higher digit.
  2. The answer ends in 25.
  For example, to square the number 35, we simply multiply the first digit (3) by the next higher digit (4), then attach 25. Since 3 x 4 = 12, the answer is 1225. Therefore, 35 x 35 = 1225

   
 16. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kwa namba za mamia na maelfu unazijumlisha zenyewe kama kawaida ila namba 1 au 2 au 3, n.k. za kati kati (za awali/zinazozidishwa na 11) baada ya kuzijumlisha unazitoa (kwa lugha nyingine unaziengua/unaziondoa au huzitumii tena)
  Hebu check hii na ufafanuzi huu:
  1. 236x11=2596=2+3+6=25396, hapo unaiengua 3 unabakiwa na 2596
  2. 1323x11=14553=1+3+2+3=14(3)5(2)53
  3. 24352x11=267872=2+4+3+5+2=26(4)7(3)8(5)72

  Hapo vipi umenielewa, au niendelee na mifano? Jaribu na wewe sasa!
   
 17. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #17
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Noted.Mbona namba zingine hazikubali kama kwa mchangiaji wa nyuma.
   
 18. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na hii je?
  3304*11=36344.
   
 19. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Utabiri na Ubashiri Huanza hivi hivi
   
 20. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  U ar right!Tafauti ni kua wanatoa majibu bila kujua nini wanaelezea.
   
Loading...