Search results

  1. kinywanyuku

    Tatizo la Moyo kwa mke mtarajiwa

    Habari wakuu Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila mwezi anafuata hospital dawa za moyo ,na haipiti wiki 2 anaumwa,kaniuliza je akimuoa si atajikuta...
  2. kinywanyuku

    Mtaji wa Milion 3 biashara gani nifanye?

    Habari wakuu nina mtaji wa milioni 3 biashara ipic nzuri kati ya home decor au vipodozi ?nipo kitunda Dar es salaam
  3. kinywanyuku

    Uume kusimama legelege

    Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe. Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege hausimami vizuri mpka mwanamke analalamika. Sijawahi kufanya nyeto,sema nimeangalia sana porn niliacha...
  4. kinywanyuku

    Mchumba wangu anakataa nishike simu yake

    Kuna mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenzi ila nahisi sasa hivi hanipendi, ila zamani alikuwa ananipenda sana. Kunitafuta ananitafuta ila hana stori nyingi kama zamani, hataki kuchat sana na hataki kuongea sana na mimi. Na nilikuwa nakwenda sana kweke ila sasa hivi kaniambia nisiende...
  5. kinywanyuku

    Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

    Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia. Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
  6. kinywanyuku

    Viambata hatarishi kwenye deodorant ya axe apolo

    Wadau hivi mliowahi kutumia hizi deodorant zenye viambata vilivyopigwa marufuku leo nimeisoma ya axe appolo nimeona, kiambata cha butylphenly methylpropional ambao wanasema inaenda kudhuru mfumo wa uzazi mnaotumia vp ikoje
  7. kinywanyuku

    Kutaka mahusiano yawe ya Siri, je ni sahihi?

    Habari wadau, hivi unapokuwa na mahusiano na Mwanamke akakumwambia anahitaji mahusiano yawe ya siri Kuna wambeya wengi je sahihi? Nikaamua kufanya utafiti kwanini anataka mahusiano ya Siri, wengi wakaniambia tapeli hata nikimuomba mzigo na appointment anatoa excuse kibao baada ya kumchunguza na...
  8. kinywanyuku

    Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

    Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga picha sina hata picha yake ukimuomba mpige picha anakuwa mkali japo huduma zote natoa hata akisuka...
  9. kinywanyuku

    Je, viazi utamu vinachangia kisukari?

    Eti wadau nasikia ulaji wa viazi utamu kwa wingi unachangia kupata ugonjwa wa kisukari je ni kweli maana ndio breakfast yangu asubuhi.
  10. kinywanyuku

    Je, upandikizaji wa vijiti unachochea mwanamke kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi?

    Habari wakuu, Hivi hivi vipandikizi vya uzazi vijiti eti vinachangia mwanamke asisikie hamu ya kujamiiana, maana nina mtoto ana mwaka mmoja ila wife kaweka kijiti cha miaka 3. Sasa wakati mwingine nilitaka kusex naye anasema kachoka,mara nyingi ananijibu hivyo nimemwambia akatoe kijiti anasema...
  11. kinywanyuku

    Matatizo ya miguu baada ya kujifungua

    Hivi wadau kuna wajawazito wakishajifungua huwa miguu inakosa nguvu chanzo nini naona sista wangu anashindwa kutembea anatumia mkongojo.
  12. kinywanyuku

    Kero za wageni

    Wadau Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara unashangaa wamekuachia kunguni wakisepa Dah kichwa kinauma sana uanze kukabiliana nao
  13. kinywanyuku

    Matatizo ya tumbo na miguu kuwaka moto

    Wadau mama yangu anasumbiliwa na matatizo haya toka mwaka 1982 anahisi vidonda vya tumbo hajawahi kupima,hii ni sms yake aliyonitumia kashindwa kwenda kazini anaumwa Nina tatizo nikila mboga zenye nyanya tumbo linauma naharisha kinyesi cha njano vidonda kooni haviponi koo linawasha sana kama...
  14. kinywanyuku

    Fridge la mtumba v\s la dukani

    Wakuu hivi yale mafridge ya mtumba tunayouziwa pale Magomeni traventina na yale ya dukani Kariakoo yapi bora hata umeme ukikatika na yapi yanadumu kwa uimara.
  15. kinywanyuku

    Challenge ya huyu mwanamke imenishinda

    Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa nimepanga vyumba viwili chunba na sebule vya kodi elfu 70 huyu mwanamke kanikataa kasema hawezi kuishi na...
  16. kinywanyuku

    Popo kuingia ndani ya nyumba usiku ni uchuro?

    Wakuu kuna imani eti popo akiingia ndani kwenu usiku na kuzunguka zunguka juu ya paa ni uchuro? Kuna jamaa nilienda kwao wiki mbili zilizopita popo akaingia akazunguka ndani kama dakika kumi jamaa akaniambia uchuro kuna msiba utatokea. Leo kafiwa na baba yake mzazi huyo jamaa maana me hizi...
  17. kinywanyuku

    Mliowahi kudate na wanawake athlete

    Wadau nimepata kamke kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea bado anaonekana ana umbo la kike. Niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha, hebu wazoefu naombeni ushauri.
  18. kinywanyuku

    Hivi Hospitali ya Amana wanafanya biashara gani kwa hivi vichanga vyetu?

    Wadau Habari za jumapili, Wiki iliyopita Jumatano mke wa ndugu yangu alipata uchungu wa kujifungua tukamuwahisha Hospital ya Amana; baada ya kufika walichelewa kumuhudumia halafu alipojifungua tu huyo mtoto walichelewa kumsaidia akanywa maji machafu toka kwa mama yake baadae wakamchukua mtoto...
  19. kinywanyuku

    Biashara ya mihogo kutoka shamba

    Wakuu, habari za mchana. Natumaini wazima. Hivi vipi kuhusu hii Biashara ya mihogo kwa hapa Dar, nikichukua shamba maana naona wakina mama wanaipenda kununua kwa ajili ya kukaanga. Naomba dondoo zake nipo kitunda DSM, vipi usafiri na gharama za kusafiriaha. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. kinywanyuku

    Nimeoa mke bikra ndoa imevunjika miezi sita

    Wakuu Habari zenu kuna jamaa yangu mtu wa visiwani muajiriwa sekta binafsi sasa kutokana na umri kusogea akaws anahitaji wife ikabidi akaoe kwao visiwani zenji akajipatia mke bikra wakaa kwenye uchumba miezi 6 bila kukutana kimwili wakaamua kufunga ndoa ya kiislamu baada ya ndoa wakaanza maisha...
Back
Top Bottom